gwamaka aswile
Senior Member
- Mar 26, 2015
- 186
- 106
MAKONGORO MAHANGA AMEKOSA HOJA
Nimesoma katika moja ya magazeti aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la segerea Makongoro Mahanga ameandika kuwa" RAIS MAGUFULI HAJAPUNGUZA UKUBWA WA SERIKALI" Mahanga amejikita katika kutizama makatibu wakuu na kuona idadi ya makatibu wakuu ni kubwa.
Tukubaliane kimsingi kuwa, ukubwa wa serikali ni baraza la mwaziri. Watendaji (tchnical) siku zote ni walewale na hapo hujataja wataalamu wengine kama vile makamishina wa wizara, wakuu wa idara, na watendaji wengine.
Katikamnchi nyingine kama Ufaransa yenye wizara kumi na nne tu, si kwamba watendaji wa aina hii hawapo. Tunapo punguza baraza la mawaziri kutoka 29 na kubakiza 18 ni hatua kubwa sana.
Ieleweke kuwa katika kupunguza ukubwa wa serikali hatupunguzi watendaji au technical people ila tunapunguza viongozi wa kisiasa na ikumbukwe kuwa Makatibu wakuu na watumishi wengine wa serikali si wanasiasa ila watendaji .
Nakukumbusha tu Makongoro Mhanga ujue hili.

Last edited by a moderator: