Baada ya kupiga kambi hapa wilayani Kakonko, kwa wiki mbili sasa, uchunguzi wangu umebaini pasipo shaka, kwamba, Idara ya Uhamiaji, Dar-Es-Salaam; imewatuma maafisa wapelelezi wawili, mwishoni mwa mwezi uliopita, wilayani hapa, ili kuchunguza uraia wa Askofu Mkuu Zachary Kakobe. Wapelelezi hawa...
Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Dar-Es-Salaam, imemwandikia barua Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Askofu Zachary Kakobe, kumwita kwa ajili ya mahojiano.
Barua hiyo yenye Kumbukumbu Na. BA: 120/231/02/82 ya tarehe 5.4.2018, imemtaka Askofu Kakobe kufika katika ofisi...
Rais Kikwete hatimaye amekomesha kigugumizi cha Viongozi wengi ambao kwa miaka mingi wamekuwa wakishindwa kutamka waziwazi hadharani kwamba, nchi ya Tanzania kwa sasa siyo nchi inayoongozwa na sera ya Ujamaa na Kujitegemea. Ingawa kwa miaka mingi Ujamaa umezikwa katika nchi yetu, bado Katiba ya...
Kabla ya mahubiri ya Neno la Mungu katika Ibada Kuu ya leo Jumapili 7.9.2014, Mwenge, Dar-Es-Salaam; Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Askofu Zachary Kakobe, alianza kwanza kusoma kwa waumini wote Tamko zima la Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusu Mchakato wa Katiba...
Tarehe 2.8.2014, Askofu Mkuu Zachary Kakobe aliongoza maandamano ya kusherehekea miaka 25 ya Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (1989-2014). Maandamano hayo yaliyojulikana kama "Matembezi ya Shukrani" yamekuwa gumzo kubwa katika Jiji la Dar-es-Salaam kutokana na umati mkubwa wa waumini wa...
Kauli ya JK kwamba Muungano wa Tanzania uko salama kutokana na nguvu za Jeshi kuulinda, na atakayeuchezea ataona cha mtema kuni; inanipa kujiuliza swali hili: Kwa sasa Scotland inapanga kujiondoa katika Muungano wa UK, baada ya kuwa katika Muungano huo tangu 1707 (yaani zaidi ya miaka 300). Je...
Katika Ibada Kuu ya Pasaka ya Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Mwenge, Dar-Es-Salaam; wakati wa Neno la Pasaka 20.4.2014, lenye kichwa, "JE, KUIDAI TANGANYIKA NI HALALI KATIKA MPANGO WA MUNGU?" Askofu Mkuu Zachary Kakobe wa Kanisa hilo, pamoja na mambo mengine, alizungumza kuhusu...
Taarifa zilizopatikana kutoka kwa waumini wanaosali katika Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), linaloongozwa na Askofu Mkuu Zachary Kakobe, zinaeleza kwamba, Jumapili iliyopita katika Ibada Kuu ya Kanisa hilo, lililoko Barabara ya Sam Nujoma, Mwenge, Dar-Es-Salaam, karibu na Mlimani...
Hii hapa, ndiyo nyumba pekee ya Askofu Mkuu Zachary Kakobe, kama wanavyothibitisha waumini wake, na watu wengi wanaofahamu undani wa maisha yake binafsi. Ni nyumba ya kawaida sana ya vyumba vinne, iliyojengwa katika mtaa wenye nyumba ambazo zimebanana sana, bila kuacha nafasi; eneo la...
Sitta, ninakupa ushauri wa bure, baada ya kuwa umechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa kudumu wa Bunge Maalum la Katiba. Tatizo lako kubwa, ni kwamba, you talk too much! Kificho ameweka standard mpya ya Spika (Mwenyekiti), so be careful, au siyo kazi yako nzuri ya nyuma inaweza kuingia mchanga.
Biblia...
Kura ya wazi, ina lengo la kuwafanya Wabunge wa CCM, kuwa kama watoto wadogo wasio na uwezo wa kufikiri na kutoa maamuzi yanayofaa, ambao wanalazimika kutekeleza maamuzi ya "mtu mzima", mwenye uwezo wa kufikiri na kutoa maamuzi, kwa niaba ya mtoto mdogo. Ndiyo maana "watu wazima" hawa, wanataka...
Katika salaam zake za Christmas jana katika Kanisa la F.G.B.F, Mwenge, Dar es Salaam, Askofu Mkuu Zachary Kakobe amezungumza kwa takribani saa mbili nzima mambo mazito sana kuhusu Uchaguzi Mkuu, Tume huru ya Uchaguzi, Ukabila na Ukanda, kufukuza viongozi katika vyama vya siasa na Serikali na...
Nimetonywa na watu wa kuaminika, walioko huko, kwamba, Askofu Mkuu Zachary Kakobe wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, kesho 25.12.2013 katika ibada ya Christmas Kanisani kwake Mwenge, Dar-Es-Salaam, itakayoanza saa 3 asubuhi hadi saa 7 mchana, katika salamu zake za Christmas na Mwaka...
Chama legelege chenye "sera" ya kulindana, kinachoogopa kuwafukuza wanachama wake wenye utovu wa nidhamu, kwa "kuogopa Chama kusambaratika", kitazaa vilevile serikali inayoogopa kuwafukuza watumishi wa serikali wenye utovu wa nidhamu, na kuwalinda tu au kuwahamisha mahali pao pa kazi. Leo, utovu...
Sina imani na JK, na vikao vyake anavyovifanya na Viongozi wa Chadema. Kwa maoni yangu, Kikwete anafanya vikao hivyo, kwa sababu kuu mbili. Kwanza, ni kuwadanganya "International Community" ili wamwone kwamba, ni Kiongozi anaye-relate vizuri na Upinzani, katika suala la Katiba, wakati ni...
Katika mila na desturi za Watanzania; ni ajabu kwa wanasiasa maarufu kuugua; na hata wakiugua, basi siyo magonjwa sugu kama UKIMWI. Ndiyo maana wakiugua, basi tunawaza haraka kwamba, huenda "wamepewa sumu".
Ingawa Watanzania wengi hatutaki kukubali hadharani, lakini ni dhahiri kwamba...
Tiba ya mchungaji wa Kainsa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Ambikile Mwasapile, imeingia dosari baada ya kuanza kupoteza umaarufu na idadi ya watu wanaokwenda kupata kikombe hicho kuanza kupungua kwa kasi, Sauti Huru limebaini.
Tiba hiyo iliyodaiwa kutibu aina zote za magonjwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.