Madhara ya Chama kinachoogopa kuwafukuza wanachama wake

Mhabarishaji

JF-Expert Member
Oct 5, 2010
1,006
2,000
Chama legelege chenye "sera" ya kulindana, kinachoogopa kuwafukuza wanachama wake wenye utovu wa nidhamu, kwa "kuogopa Chama kusambaratika", kitazaa vilevile serikali inayoogopa kuwafukuza watumishi wa serikali wenye utovu wa nidhamu, na kuwalinda tu au kuwahamisha mahali pao pa kazi. Leo, utovu wa nidhamu katika kuzingatia bajeti na matumizi, ufisadi, uvivu kazini, n.k; vimeshamiri kwa sababu ya serikali inayoogopa kuwafukuza watumishi wa serikali, iliyotokana na Chama chenye "sera" ya kulindana.
 

kikule

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
217
225
pipoz pawa,ndo chama makini. Mzee wa mabilion ya uswizi apigwe chini maana ni mnafk
 

Kagalala

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
2,404
2,000
Kwa kweli Chadema wanaonyesha mfano mzuri wa serikali tunayohitaji. Naomba Mungu Chadema wasirudi nyuma katika hii issue ya Zitto kusudi uwe mfano bora. Wale wanaosema bila Zitto hakuna Chadema hapo wanajua nini maana ya kuwa na viongozi makini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom