Mhabarishaji
JF-Expert Member
- Oct 5, 2010
- 1,006
- 598
try to be serious, Kakobe na posho za bunge la katiba wapi na wapi, kama posho anayo lipwa mbunge wa katiba katika siku 70 yeye anauwezo wa kuitumia kurusha vipindi kwa wiki 1 , unafikiri kweli hapo shida yake ni posho ?Kakobe umenipa raha;
Hivi kumbe hii posho ya bunge maalum imetuuma wengi.
Duh! Hii kali! Kakobe ni mtumishi wa Mungu ninayemheshimu sana pamoja na mafundisho yake potofu juu ya Ukatoliki lakini hilo halibadili ukweli kuwa ni mtumishi wa Mungu na asipuuzwe!:A S-coffee: