Search results

  1. Mwalimu Truth

    Natafuta kazi ya muda

    Hello, Habari, Natafuta kazi ambayo ninaweza kuifanya kwa malipo yeyote kadri ambavyo tutakubaliana na muajiri kulingana na ratiba yangu. Umri: Miaka 27 Elimu Diploma ya Ualimu wa Sekondari somo la Baiolojia. Jinsia: Me. Uzoefu: Miaka 3 Mwalimu wa shirika la Compassion kazi ambayo bado...
  2. Mwalimu Truth

    Ufugaji wa ngamia

    Habarini wadau wa JF, nimeamua kuanzisha uzi huu kwasababu nimetafuta data zote kuhusu Ngamia nimekosa. Nataka nifuge Ngamia, mmoja au wawili wananitosha. Je, nina wapata wapi? Bei ya ngamia ambaye bado mdogo ni bei gani? Ngamia mkubwa bei gani? Nizingatie nini wakati wa kumfuga Ngamia? Kwa...
  3. Mwalimu Truth

    Nifanyeje ili kuikinga mifugo yangu dhidi ya mlipuko wa magonjwa?

    Habarini wana Jf. Shamba langu la Mifugo lina Mbuzi, kondoo, kuku, kanga, bata, Mbwa wa kisasa, njiwa na ngombe wawili ambao wanafugwa wakiwa ndani muda wote. Lengo langu ni kuwa na wanyama wa kufugwa aina zote kwenye shamba langu, ili kuepuka magonjwa, wanyama wote wanafugwa pasipo...
  4. Mwalimu Truth

    Ufugaji Mbuzi wa kienyeji (Asili) kibiashara

    Habarini wafugaji,nimepitia nyuzi nyingi humu ndani. Ufugaji wa kuku,Bata na ng'ombe umezungumziwa kwa kiasi kikubwa sana, nyuzi hizo zimenisaidia katika mradi wangu wa ufugaji. Kwa sasa nataka nipanue mradi wangu na kuongeza ufugaji wa mbuzi wa kienyeji, nitumie mbinu gani ili niweze...
  5. Mwalimu Truth

    NINUNUE GARI GANI?

    Nilileta uzi humu kuhusu gari ya kununua kwa bajeti ya milioni 5,nilipata Vitz Rs namba D kwa mtu na sio kwa dalali ikiwa msumali haswaaa kwa bajeti ya milioni 5.5 !Kokote naenda pasipo shida,kwa sasa nahitaji gari lingine la kutokea wikendi tu,namaanisha kila JUMAPILI sitajali cc zake kama...
  6. Mwalimu Truth

    Naomba kujuzwa uhusiano wa simu na radi

    Habari wana Jf.Naomba kuuliza,hivi ni kweli kutumia Simu wakati wa Mvua yenye ngurumo za radi kuna madhara yoyote yanaweza kumkuta mtumiaji?Simu na radi kuna uhusiano gani kitaalamu katika inshu za mionzi nk? Binafsi,pengine kutokana na ujuzi mdogo,sioni kama kuna uhusiano wowote na iwapo radi...
  7. Mwalimu Truth

    Kwanini unapo Upload picha kwenye mtandao wa kijamii inabakia kwenye simu au Kompyuta?

    Wataalamu wa Kompyuta au yeyote mwenye uelewa anaweza kunielewesha. Hivi,kwanini ukimtumia mtu picha kwenye simu au kompyuta yake ibakie tena kwako(Kwenye simu au Kompyuta yako)?Si hivyo tu,kama una picha kwenye simu au kompyuta ukiiUpload kwenye Social Network iwe Facebook au Instagram...
  8. Mwalimu Truth

    Ninunue gari lipi kati ya hizi?

    Naomba ushauri wana Jf, Hasa mnaomiliki gari aina ya Vitz pamoja na Passo. Madereva wazoefu pia wa magari mnaweza kunisaidia kunipatia ushauri. Nina 5M, je ninunue gari gani (second hand) Kati ya hizi mbili Passo au Vitz old Model? Ninahitaji gari la kupigia misele ya town kwenda kazini...
  9. Mwalimu Truth

    HADITHI YA PENZI LA NYOKA MTU

    PENZI LA NYOKA MTU MTUNZI:HAKIKA JONATHAN WHATSAP:0629905923 *SEHEMU YA KWANZA** Msitu wa Ukijani ulikuwa kimya sana,ukimya uliopelekea sauti za ndege kusikika kila pembe ya msitu huo.Ndege walipokezana kuimba kwa furaha kufurahia mwanga hafifu wa jua uliopenya kwenye miti mirefu ya msitu huo...
  10. Mwalimu Truth

    Karibu hakika jonathan bookshop

    KITABU CHA "DAMU NA MACHOZI" : :BEI SH 10000 : "Mshindi wa tatu ni Patreporo Clekozik kutoka Slovenia, mshindi wa pili ni Linda Windsay kutoka Marekani na mshindi wa kwanza niiiiiiiiii! "Alipofika hapo mcBing alivuta kidogo na watu roho zao zikabaki juujuu, kwasababu nyuma ya pazia walikuwa...
  11. Mwalimu Truth

    Natafuta tuition ya kufundisha mwezi wa 12

    Wana jf habari zenu?? Natafuta tuition ya kufundisha somo la biology kwa olevel na agricultural science kwa olevel na advance,mwezi wa kumi na mbili. Sehemu yoyote ndani ya jiji la dar es salaam...... Niko chuo mwaka wa kwanza nasoma stashahada ya ualimu wa secondar biology na agriculture...
Back
Top Bottom