Natafuta tuition ya kufundisha mwezi wa 12

Mwalimu Truth

Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
57
Reaction score
78
Wana jf habari zenu?? Natafuta tuition ya kufundisha somo la biology kwa olevel na agricultural science kwa olevel na advance,mwezi wa kumi na mbili. Sehemu yoyote ndani ya jiji la dar es salaam...... Niko chuo mwaka wa kwanza nasoma stashahada ya ualimu wa secondar biology na agriculture....!! Anayenihitaji au kunipatia ushauri wowote anaweza nitafuta kwa namba hizi 0629905923 ,0763338857
 
Na mie niunganishe natafuta kazi ya kufundisha masomo ninayofundisha ni kiswahili na Geography uzoefu mkubwa ukiwa somo la kiswahili, kwani nimelifundisha kwa miezi takribani minne na kuacha kazi baada ya kutokulipwa na kuuliza kuhusu posho yetu ndipo tukafukuzwa walimu 8 kati ya 9 kwa hiyo mpaka sasa natafuta shule ya kufundisha nikipata naahidi kufundisha kwa moyo wa kujitoa kwa wanafunzi wangu ila sihitaji tena wababaishaji kwenye eneo la ujira. Kumbuka nimemaliza chuo kikuu mwaka huu 2017_ katika chuo kikuu kishiriki cha elimu cha Dar es salaam(DUCE).
 
Nitafute hapa 0763338857 ,0629905923 whatsup tushauriane
 
Mkuu shule gani hiyo
 
Back
Top Bottom