Search results

  1. ENZO

    Nauza mashine ya Selcom kwa bei poa

    Nauza Mashine ya Selcom kwa Tsh.400,000/=, mashine ipo dar. Mwenye uhitaji anicheki PM ........
  2. ENZO

    Msaada: Naomba kujua Kuhusu Livescore

    hawayuniii ......... Naomba niende direct kwenye swali......... Nimekua mfatiliaji wa michezo mbalimbali kupitia simu kujua matokeo, huwa natumia Livescore ......... Sasa nimekua nikijiuliza na sipati jibu" unakuta labda kw muda huo mechi zipo kama 200 hivi zinachezwa muda mmoja, zinaupdatiwa...
  3. ENZO

    Nini kinasababisha albinism (ualbino)?

    Naomba kujua kinachosabaisha Ualbino kitaalamu zaidi, maana katika kuuliza uliza kila mtu amekua akinipa jibu lake, wengine wanasema ni kurithi, unakuta baba ni mweusi na mama ni mweusi lakini mtoto anakuwa na albinism. Je, ualbinism unatoka kwa mama au kwa baba? Tupige vita uuaji wa ndugu...
  4. ENZO

    Edson Cavani gun shot celebration

    hii imekaaje?! Edson Cavan jana alitolewa nje kw red card wakati timu yake PSG ilipochomoza na ushindi wa goli 3 kwa 1 dhidi ya Lens, kisa chenyewe ni kushangilia kama m2 anayepiga risasi(firing a gun) ............. Hivi ni mapenzi ya refa au ni kosa?! Grand PA
  5. ENZO

    Sporah show Diamond akipasua yai

    Nimeona tangazo la sporah show clouds tv itakayofanyika leo J4. diamond akiongea ung'eng'e wa hatare, kumbe jamaa sasa hivi kimombo kinapanda eeh msisahau kufatilia mtupe update alichochapia!" au alichopatia. by the way hivi mwana nae anajua kuongea hata sentensi moja ya kingereza kweli...
  6. ENZO

    Lifti za kwenye majengo marefu zinafanyaje kazi ?

    Habarini za muda huu wadau ............ Jana nilikua nimeenda kwnye office moja posta kwenye jengo moja refuuuu! nilikua naenda gorofa kama ya 12 hivi. nilifika offisini vizuri nakufanya yaliyonipeleka. Wakati naaga ili kuondoka yule receptionist akanipa angalizo kuwa nisitumie lifti iliyopo...
  7. ENZO

    Kampuni moja ya nchini Japan imedai kufanikiwa kutengeneza midoli ya ngono ‘sex dolls’

    Dunia ina mambo Kampuni moja ya nchini Japan imedai kufanikiwa kutengeneza midoli ya ngono ‘sex dolls' yenye muonekano halisi wa mwanamke ambayo huwa na ngozi ya mwili kama ya binadamu na macho kama ya ukweli. Orient Industry imesema ni ngumu kuitofautisha midoli hiyo na msichana halisi...
  8. ENZO

    Haingii akilini Messi kuwa mchezeji bora!"

    Hivi Messi kafanya nini kikubwa zaidi ya Muller, Roben au hata huyo James Rodriguez? Kama kuibeba timu Di maria ndio alikuwa anaibeba timu. FIFA wamezidi upendeleo!
  9. ENZO

    ipod for sell .........

    Laki moja tu! pungufu unaongea new ipod shuffle 1GB nyimbo zinaingizwa kw itune! interested? PM itaucka.
  10. ENZO

    mwoneni huyu dogo!

    Dogo anafundishwa hesabu na mama ake. Mama: mwanangu njoo nikufundishe hesabu Dogo: thawa mama Mama: mfano shangazi akikupa maandaz 2, kisha akikupa tena maandaz mawili, jibu litakuwa lipi Dogo: athante thangazi
  11. ENZO

    Bunia amefanana na msanii gani!!! .......

    bunia watu hawa wamefanana na msanii gani hapa bongo? ........
  12. ENZO

    Msaada: Computer inazingua!

    Habarini za muda huu wakuu!! Ebwana naombeni msaada Computer yangu HP inapiga mzigo kama kawa ila tatizo linaanza pale nikiiunganisha tu kwenye net inakua slow mbhaaya! na hata folder na program yoyote hazifunguki mpaka pale nitakapoidisconnect from the net ............. nimeshaiscan na active...
  13. ENZO

    MSAADA: Photoshop Software

    ...... PLZ mwenye link ya kudownload photoshop naomba aitupie hapa.
  14. ENZO

    MEN'S INBOX Vs WOMEN'S INBOX

    IN BOX SMS ZA MSICHANA Frank: I love u gal. Mpesa: You have received 15,000 kutoka kwa John Tesha. Bodaboda: Unajua nahisi km nataka nikutoe diner leo. 100: Umepokea muda wa maongezi wa shilingi 2,000. Juma: I miss u baby gal. Joseph: Baby enter 76039743803546 then 2chat. Mpesa: Umepokea...
  15. ENZO

    Unamshaurije huyu dada?

    Mimi ni msichana wa miaka 20 naishi magomeni jijini dar nimejitokeza kwenu kushare tatizo langu. mimi sina wazazi wote walifariki kwa ajali ya gari mwaka 1998, Mimi waliniacha nasoma shule ya msingi. Sasa baada ya kumaliza nilifanikiwa kujiunga na sekondari nilisoma hadi form 4 nikamaliza pia...
  16. ENZO

    MSAADA KWA HII LAPTOP(Folder zinajicreate zenyewe)

    Wadau naombeni msaada laptop yangu inajitengeneza folder yenyewe!! inajirename jina la ajabuajabu kama hivi "0d975b542127f3ca0ed43f4447af" ukiyadelete yanakuja maneno haya "You need permission to perform this action. You are require permission from SYSTEM to make changes to this folder." na...
  17. ENZO

    Huyu msanii huwa ananikera!!! ......

    Nawasalimu wanajeiefu wote, straight to ze point ebwana huyu msanii anayeitwa WAKUVANGA wa kundi la ORIJINO KOMEDY huwa sioni anachokifanya zaidi ya kunikera!! kuchekesha kwenyewe hajui,anaforce fani ambayo sio yake. ushauri wangu kwa huyo jamaa angeenda kuimba taarabu na akina mzee yusuf ndio...
  18. ENZO

    Bendera nusu mlingoti mpk 2015

    Kwa nini serikali isiidhinishe bendera kupepea nusu mlingoti mpaka awamu ya Mkwer//.... itakapoisha 2015.
  19. ENZO

    Natafuta nokia tochi .......

    Kwa yeyote anayeuza NOKIA tochi yenye condition nzuri aniPM. kwa aliyeko DAR tu. BEI 10,000/=
  20. ENZO

    Natafuta nokia tochi .......

    Kwa yeyote anayeuza NOKIA tochi yenye condition nzuri aniPM. BEI 10,000/=
Back
Top Bottom