Unamshaurije huyu dada?

ENZO

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,242
1,736
Mimi ni msichana wa miaka 20 naishi magomeni jijini dar nimejitokeza kwenu kushare tatizo langu. mimi sina wazazi wote walifariki kwa ajali ya gari mwaka 1998, Mimi waliniacha nasoma shule ya msingi.

Sasa baada ya kumaliza nilifanikiwa kujiunga na sekondari nilisoma hadi form 4 nikamaliza pia nikapass mitihani yangu. nikatakiwa kidato cha tano,kabla sijaenda shule nilibahatika kupata mchumba muuza genge na akaahidi kunisomesha kwani mimi nilikosa ada.

Nashukuru mungu kanisomesha hadi chuo kikuu na nimemaliza hadi sasa nimepata kazi yangu.

Siwezi kuishi na muuza genge hata siku moja kwanza hajui kuvaa akapendeza pili hana elimu.Sasa je nifanyeje kumwambia ukweli kwamba mimi siwezi kuishi na yeye bila kuumiza moyo wake.

"NIMEIKUTA MAHALI NIKASHIKWA NA BUTWAA NIKASHINDWA KUCOMMENT .........HIVI MTU KAMA HUYU UTAMSHAURI NINI!!"
 
mbona heading haiendani na maudhui ya sred?acha kugeneralise na kuwalisha wenzio sumu,women are nt uniform objects.
 
Huyu mwanamke ana akili sana,

Apewe moyo na ushauri wa kumalizana na muuza genge...Hawa ni kama matope na maziwa....hawawezi kuishi pamoja hata kwa mtutu wa bunduki.

Wanawake wenye akili zao huwa hawadate wadogo zao au watu ambao wana hadhi ya chini yao.

Kama kuna mwanamume hajui ukweli huu basi maumivu ni halali yake!!

Babu DC!!
 
Amlipe hela zake plus interest kwa kumpotezea muda. Wanawake wengi ni wezi halafu wanauza. Fadhila mfadhili mbuzi ....
 
Hahahaaaa! Hili ndo jiji banaaa, tenda wema uende zako, usingoje shukrani!!!! Muuza genge kakopwa huyooo! Dawa ni kutoinvest kwa mwanamke utegemee longterm returns!!!! Dawa ni kuendelea KUDOKOA investment yako daily hata siku ikikupiga chini ushafanya depreciation of asset ya kutosha tuuu. Ukiwekeza uje ule bdae!!!!! WENZIO WANAKUJA KULA NA HAWAMBAKISHII BABA!!!!
 
ah huyu mwanamke alikuwa halijui kuwa muuza genge sio choice yake wakati mwana anajipinda kumlipia ada!!! hawa ndio wanawake wakuwabaka na kuwa f.i.r.a

Inatia hasira sana wakati unasomeshwa hukuliona hilo sasa unakadiree unajifanya msomi nakusahau eti humtaki tena Muuza genge kwann hukumwambia wakati anakusomesha yaani Mwanamke kama ww ni wa kutoa kafala potelea mbali kuliko kuendelea kukuona machoni niheri mara 100 yaani ulikuwa unamtumia Muuza genge kama ngazi kukidhi yako mahitaji.
Yaani mi sikukawiziiii...
 
Ni ushamba ndo unamsumbua huyo binti..,kuuza genge sio tatizo..Amueleze yy anapenda mwanaume wa namna gani ili mshkaji ajaribu kubadilika..Vitu kama mavazi.,muonekano.,lugha za kuzungumza na mahali husika ni vitu vinavyofundishika.
Yawezekana hata yy alivyokwenda chuo kwa mara ya kwanza wenzake walimshangaa ila alibadilika na kuendana nao..
 
ah huyu mwanamke alikuwa halijui kuwa muuza genge sio choice yake wakati mwana anajipinda kumlipia ada!!! hawa ndio wanawake wakuwabaka na kuwa f.i.r.a

Duh umeenda mbali sana....,Ungepewa madaraka ya kukaimu nafasi ya Mola kwa masaa matatu mmmh..........
 
Amlipe hela zake plus interest kwa kumpotezea muda. Wanawake wengi ni wezi halafu wanauza. Fadhila mfadhili mbuzi ....

Yaani kwa hasira na dharau za huyo Mdada mi ningekuwa nanyea debe kwa hasira nilizonazo.
Yaani Muuza Genge wa watu ameinvest kwake akitegemea kupata mke bora ambae angemthamini na kumjali kumbe amepata jizi, lichunaji na tapeli la mapenzi.
Yaani ningemfanyia ambacho asingesahau maishani mwake.
 
Inatia hasira sana wakati unasomeshwa hukuliona hilo sasa unakadiree unajifanya msomi nakusahau eti humtaki tena Muuza genge kwann hukumwambia wakati anakusomesha yaani Mwanamke kama ww ni wa kutoa kafala potelea mbali kuliko kuendelea kukuona machoni niheri mara 100 yaani ulikuwa unamtumia Muuza genge kama ngazi kukidhi yako mahitaji.
Yaani mi sikukawiziiii...
Hastahili kutolewa kafara.
Fanya uchunguzi kidogo, utagundua kuwa zaidi ya 70% ya wanawake ambao wamesaidiwa na mabwana wanaotafuta riziki kwa tabu, huwa wanawakimbia hao mabwana mara baada ya mambo ya hao wanawake kuwa super sana.
Ukiwauliza kwa nini? wanakwambia hatuendani. Ukiwauliza mbona ulikuwa nae kwa mingi tu hukuliona hilo? hawakupi jibu la kueleweka.
Hii imeshatokea kwa watu wengi tu, sio kitu cha kushangaa wala kushtuka.

Solution ni kuwa mwangalifu tu wakati una-invest kwa mwanamke, na utambue anaweza akabaki na wewe au akala kona baada ya kufanikiwa hivyo uandae jinsi ya ku-ease the pain.

Kwa upande wangu nita-invest kwa mwanamke mwenye mtoto wangu manake hata akikimbia atalea mwanangu.
 
Hahahaaaa! Hili ndo jiji banaaa, tenda wema uende zako, usingoje shukrani!!!! Muuza genge kakopwa huyooo! Dawa ni kutoinvest kwa mwanamke utegemee longterm returns!!!! Dawa ni kuendelea KUDOKOA investment yako daily hata siku ikikupiga chini ushafanya depreciation of asset ya kutosha tuuu. Ukiwekeza uje ule bdae!!!!! WENZIO WANAKUJA KULA NA HAWAMBAKISHII BABA!!!!

Post zako ni noma,100% true!
 
duh, kumuacha mtu wa aina hii nafsi inaweza ikusute maisha yako yote, ngumu sana.

Kuna mmoja ilikuwa hivi hivi, au ndio yeye? Ila yeye walizaa na mtoto mmoja, ndio akaenda chuo kikuu. Akamwachia mmewe mtoto mdogo alee, hapo kijana ana meza kariakoo.

Kufika mwaka wa tatu, dada akaolewa na mmiliki wa hotel moja hivi, yaani watu walikuwa wakimuona yule kaka, hadi wanampisha njia.

It was bad! Very bad kwa mwanamme, hakuwa anajua aanzie wapi.
 
Huyu mwanamke ana akili sana,

Apewe moyo na ushauri wa kumalizana na muuza genge...Hawa ni kama matope na maziwa....hawawezi kuishi pamoja hata kwa mtutu wa bunduki.

Wanawake wenye akili zao huwa hawadate wadogo zao au watu ambao wana hadhi ya chini yao.

Kama kuna mwanamume hajui ukweli huu basi maumivu ni halali yake!!

Babu DC!!

Aisee :D

-"Wanawake wenye akili zao huwa hawadate wadogo zao au watu ambao wana hadhi ya chini yao."-

.......Swahiba, is this really coming from you au ni usingizi tu ulikupitia?

No wonder wanaume wengi wenye mawazo pumba hawakubali wake zao kujiendeleza kielimu na hata kuchukia wake zao wanapopata mafanikio ya kikazi au kibiashara (uanaume wao usijeshuka hadhi!)
 
... Alaaaaaaaaaaaaaaaa kumbe. Tulishafikia mahali ambapo hawa wanawake wanaona na wanatumia vinanii vyao kama vitega uccumi vile? Halafu biashara hii ni Ngumu sana, kwamba HATA KAMA BIDHAA IMESHANUNULIWA AKIPATIKANA MTEJA AKAPANDA DAU. AU HUWA ZINAKODISHWA HIZI NINIII? BY THE WAY, NADHANI WENGINE WANAOFANYA HIVI NI PIA NI WALE WALIOKUWA NA NDOA HALALI.

EE MUNGU UTUNUSURU.

MITHALI 16:25 Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu; Lakini mwisho wake ni njia za mauti.
 
She thinks she is being smart by jilting him like that but I believe a karmic retribution will catch up to her at some point!
 
mimi ni msichana wa miaka 20 naishi magomeni jijini dar nimejitokeza kwenu kushare tatizo langu. Mimi sina wazazi wote walifariki kwa ajali ya gari mwaka 1998, mimi waliniacha nasoma shule ya msingi. Sasa baada ya kumaliza nilifanikiwa kujiunga na sekondari nilisoma hadi form 4 nikamaliza pia nikapass mitihani yangu. Nikatakiwa kidato cha tano,kabla sijaenda shule nilibahatika kupata mchumba muuza genge na akaahidi kunisomesha kwani mimi nilikosa ada. Nashukuru mungu kanisomesha hadi chuo kikuu na nimemaliza hadi sasa nimepata kazi yangu. Siwezi kuishi na muuza genge hata siku moja kwanza hajui kuvaa akapendeza pili hana elimu.sasa je nifanyeje kumwambia ukweli kwamba mimi siwezi kuishi na yeye bila kuumiza moyo wake.
"nimeikuta mahali nikashikwa na butwaa nikashindwa kucomment .........hivi mtu kama huyu utamshauri nini!!"

liongo. Miaka 20 af amesoma ad 6 na kamaliza chuo??? Kudadadeki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom