mwoneni huyu dogo!

mwoneni huyu dogo!

ENZO

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,248
Reaction score
1,745
Dogo anafundishwa hesabu na mama ake.
Mama: mwanangu njoo nikufundishe hesabu
Dogo: thawa mama
Mama: mfano shangazi akikupa maandaz 2,
kisha akikupa tena maandaz mawili, jibu
litakuwa lipi
Dogo: athante thangazi
 

Attachments

  • 1001338_10151694896678491_1472748377_n.jpg
    1001338_10151694896678491_1472748377_n.jpg
    14.4 KB · Views: 573
ooooh wow i luv this kido hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom