ENZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,248
- 1,746
Habarini za muda huu wakuu!! Ebwana naombeni msaada Computer yangu HP inapiga mzigo kama kawa ila tatizo linaanza pale nikiiunganisha tu kwenye net inakua slow mbhaaya! na hata folder na program yoyote hazifunguki mpaka pale nitakapoidisconnect from the net ............. nimeshaiscan na active antivirus na hakuna virus, sa sijui tatizo liko wapi?!! mwenye idea plz.