Search results

  1. kapotolo

    Jinsi ya kupata mimba haraka

    1. Kufanya tendo la ndoa mara kwa mara, angalau siku tatu kwa wiki, ikiwezekana on alternate days. 2. Tumia ovulation prediction kit, hiki ni kifaa ambacho kitakusaidia kujua wakati hasa mwanamke ameengua yai na ndio kipindi ambacho mwanamke ana uwezo wa kushika mimba akikutana na...
  2. kapotolo

    Dangers Of Delaying Motherhood Until 30

    Women who delay having children enter a ‘risk zone’ of problems in their early thirties, researchers say – much earlier than was previously thought. The risk of problems such as premature and stillbirth rises by as much as 20 per cent for women aged between 30 and 34, compared with those having...
  3. kapotolo

    Live Updates: Mkutano wa Chadema Kutoa elimu ya katiba Sumbawnga.

    Makamanda wa anga wamewasili kwa chopa wakitokea mji mdogo wa Namanyere baada ya mikutano yao ya mkoa wa Katavi. Baada ya utambulisho, kamanda Tundu Lisu ameanza kutoa shule ya katiba na hasa Muungano. PICHA: KAMANDA MUONGOZA RATIBA AKIWAPA WANANCHI WANAOZIDI KUSOGEA MAWILI MATATU WAKATI...
  4. kapotolo

    Mh Bernard Membe, Ulishafuta kauli hii Kuhusu Rajoelina

    Akiongea kwa kujiamini, kwa majigambo, mbwembwe na vitisho, Membe, alitoa mfano wa Madagascar; kwamba mcheza disco Rajoelina, ambaye asipofanya maandamano miguu yake inawasha, alijaribu kuiondoa madarakani serikali iliyochaguliwa kidemokrasia ya Ravalomanana. Kwamba pamoja na kuungwa mkono...
  5. kapotolo

    Dr Slaa alikuwa maarufu bungeni bila lugha ya kuudhi wala matusi, wabunge vijana CHADEMA igeni

    Yanayoendelea bungeni kwa sasa yana athari kwa jamii inayoiunga mkono chadema japo wengi hawataki kukubali ukweli huu. Inawezekana ilikuwa hivyo lakini kwa sasa kitendo cha wabunge wa chadema kutolewa nje kila wakati hakiwajengei tena umaarufu bali kinaanza kuharibu sifa nzuri ya chama...
  6. kapotolo

    Adhabu ya siku tano kwa wabunge wa CHADEMA haitoshi - Dr. Bana

    Kwenye kipindi cha tuongee asubuhi Star TV mhadhiri mwandamizi wa UDSM amesema adhabu waliopewa akina Lissu ya siku tano haitoshi na walitakiwa wapewe adhabu hata ya miezi mitatu na wakatwe mishahara pia. My take: Hawa ndio madaktari wetu na walimu wetu wa chuo kikuu, ambao hawaonyeshi hata...
  7. kapotolo

    "One Day Our Country will be corruption free", which tense is it?

    It is the right answer!!!
  8. kapotolo

    PICHA: Maisha bora kwa kila mtanzania yako huku, hamia kabla ya 2015

    Naomba wote wanaojielewa tuhamie huku kabla ya 2015, hii analog itazimika baada ya hapo.
  9. kapotolo

    Msaada Error 118 hasa nikifungua JF

    Heri ya mwaka mpya wand TGS Forum. Wajuzi wa haya mambo naomba msaada. Nimekuwa nataabika sana karibia mwezi sasa, nikifungua website ya Jamiiforums, haifunguki na inanipa error 118, inabidi nire-load several times ndio ikubali. Tatizo linaweza kuwa nini? is it my computer? Na utatuzi wake ni...
  10. kapotolo

    Juma Duni Haji: CCM wameungana kwa ajili ya Urais 2015 si kutumikia wananchi

    Wazir wa Afya (siha) wa Serikali ya Umoja wa kitaifa Zanzibar ndugu Juma Duni Haji akihojiwa katika kipindi cha Saa ya Hamza Kasongo (Hamza Kasongo Hour) cha channel 10 alisema mkutano wa 8 wa CCM huko Dodoma ulikuwa na lengo moja la kuwaunganisha wana CCM kwa lengo la kushinda Uchaguzi wa 2015...
  11. kapotolo

    Star TV Kulikoni? Tuongee asubuhi ya Jumapili si Siasa tena!

    Nilikuwa nategemea Star TV ndio chombo consistent katika vipindi vyake. Nashangaa haya mabadiliko ya mara kwa mara yanatokana na nini, vipindi vimekuwa havieleweki. Tulizoea Jumapili tuongee asubuhi ni mada zinazohusiana na siasa lakini siku hizi hata mara hakuna mada yoyote, mara elimu. Star...
  12. kapotolo

    JK ni genius, Matukio yote ni Upepo tu na yamepita.

    Kikwete akisema sasa namuamini, Matukio yafuatayo ingawa yalitikisa Nchi, lakini yalikuwa upepo tu na yamepita. 1. Waligoma waalimu na madaktari, watu wakafa wanafunzi wakakosa masomo, hata bila madai yao kushughulikiwa ukawa upepo tu na ukapita. 2. Akakamatwa Ulimboka, akateswa na kukaribia...
  13. kapotolo

    Kinana, campaign manager aliyeshusha kura za Kikwete kwa 20%, Je kuipandisha CCM?

    Nawashangaa sana Mashabiki wa CCM wanaojipa moyo na sekretarieti mpya na kufikia hata kuwaita majembe, binafsi sioni jembe hapo. Huyu mtendaji mkuu Kinana ndio alikuwa anaratibu kampeni za Kikwete ambapo pamoja na kuchakachua JK akashuka kwa asilimia 20%, Je, anawezaje kuipandisha au...
  14. kapotolo

    Vifo Mabomu ya Mbagala, Mgomo wa Madaktari, ARVs na Cloxacillin Fake - Waziri hajiuzulu, kwanini?

    Hivi waziri Mwinyi, unataka wangapi wafe chini ya wizara unazoziongoza ndipo uwajibike? Milipuko ya mbagala iliua watu, ukasema kamwe hujiuzulu Ulipoteuliwa kama waziri wa afya, ukasema utahakikisha migomo haipo tena kwenye wizara hiyo, lakini madaktari wakagoma, watu wakafa, na hukuona sababu...
  15. kapotolo

    Wenje katika kashfa ya kutotimiza ahadi

    Mbunge wa Nyamagana (Chadema) Ezekiel Wenje ametuhumiwa kushindwa kutimiza ahadi ya kulipia wanafunzi 130 wa sekondari ada. Wakitoa malalamiko yao wakuu wa shule walisema Mh Wenje aliahidi kusomesha wanafunzi hao lakini toka Januari mwaka jana hajalipa ada kwa wanafunzi hao. Ada hiyo imefikia...
  16. kapotolo

    Msaada jinsi ya kutumia satellite dish moja kwa decoder mbili!!

    Wakuu nina decoder mbili za dstv, nataka kuziunga zote na niwe na uwezo wa kubadilisha channels kwenye kila decoder kwenye tv mbili tofauti kwa kutumia dish moja. Naomba msaada wenu wakuu kama nimeeleweka.
  17. kapotolo

    Bashe, Kigwangalah wapigwa panga Nzega

    SEKRETARIETI YADAIWA KUPENDEKEZA WAKATWE,VURUGU ZA NZEGA ZAWAPONZA MAKALI ya panga la Sekretarieti ya CCM, yameanza kuonekana baada ya majina ya wagombea wa nafasi ya Halmashuari Kuu (Nec) ya chama hicho kupitia Wilaya ya Nzega, Mbunge wa Jimbo hilo, Dk Hamis Kigwangalah na Mjumbe wa Mkutano...
  18. kapotolo

    Tumebaki na Rais wa Uzinduzi, Safari na Misiba

    Yule Rais tuliyemchagua kwa kishindo mwaka 2005 amepotea, Rais tuliyemtegemea - aboreshe uchumi na kuondoa umasikini, aongeze nidhamu kwa watendaji serikali, apambane na Rushwa, aboreshe huduma za jamii kama afya na elimu, akuze demokrasia nchini - hayupo tena. Huyu tulienae [*=1]Ameshindwa...
Back
Top Bottom