Jinsi ya kupata mimba haraka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kupata mimba haraka

Discussion in 'JF Doctor' started by kapotolo, Jan 7, 2014.

 1. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2014
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,717
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  1. Kufanya tendo la ndoa mara kwa mara, angalau siku tatu kwa wiki, ikiwezekana on alternate days.

  2. Tumia ovulation prediction kit, hiki ni kifaa ambacho kitakusaidia kujua wakati hasa mwanamke ameengua yai na ndio kipindi ambacho mwanamke ana uwezo wa kushika mimba akikutana na mumewe. Ni rahisi kutumia.

  3. Fanya tendo la ndoa kabla ya kuengua yai (kabla ya ovulation), huongeza uwezekano wa kushika mimba kuliko kusubiria ovulation au kufanya baada ya ovulation. Kutaneni siku mbili au tatu kabla ya ovulation. Ukitumia ovulation test kit, mkutane kuanzia siku itakapokuwa positive kwani huwa inapredict ovulation kutokea 48 hrs after it tests positive.

  4. Usitegemee njia ya kalenda kutabiri uenguaji yai, njia hii kwa kiasi fulani huweza kuwasaidia wale wenye mzunguko wa siku 28, lakini pia haina uhakika wa 100%, wengi wa wanawake hawaengui yai siku ya 14 ya mzunguko wa hedhi, kwa hiyo kutegemea kalenda kutakuchelewesha kupata ujauzito.

  5. Unapotaka kushika mimba, acha au punguza kwa kiasi kikubwa matumizi ya pombe, sigara au dawa za kulevya.

  6. Unapotaka kupata mimba, tendo la ndoa liwe kitu 'enjoyable' na sio tendo 'mechanical' kwa ajili ya kutafuta mtoto. Plan a romantic evening or try something different to spice things up. How you are feeling sexually may increase your chances of getting pregnancy. For women a better orgasm may help pull the sperms into the uterus and for men a better orgasm may increase their sperm count.

  7. Kufanya mapenzi katika mtindo (style) ambayo itafanya mbegu za kiume zikae kwa muda mrefu ukeni na hivyo nyingi kupanda kuingia kwenye kizazi na kwenda kurutubisha yai. 'missionary position' ni nzuri zaidi, ambapo mwanaume anakuwa juu, epuka positions za mwanamke kuwa juu kwani hufanya mbegu zimwagike kwa gravity. Jaribu pia kuweka mto chini ya kiuno ili kukiinua na kufanya mbegu ziingie ndani kwa urahisi zaidi.

  Kumbuka kuna asilimia 10 - 25 ya couples ambazo zina matatizo ya infertility lakini vipimo havionyeshi tatizo, inaweza kuwa namna ya kufanya mapenzi ndio ikawa shida, jaribu njia hizo 7 juu.

  Kama hizi njia hazijakusaidia basi utakuwa na matatizo na unaweza kumuona daktari kwa msaada wa vipimo na matibabu.

  Natumaini uzi huu unaweza kuwa msaada kwa watafutao watoto.
   
 2. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2014
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,580
  Likes Received: 1,556
  Trophy Points: 280
  nice thread !
   
 3. n

  nickyrabit Member

  #3
  Jan 7, 2014
  Joined: Nov 29, 2013
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  watu wanasoma.hii.ili wa do EXACTLY THE OPPOSITE
   
 4. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2014
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,717
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  why wa-do the opposite, hii ni kwa wale wanaotaka kupata mimba haraka.
   
 5. diplomatics

  diplomatics JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2015
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 217
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Ahsante. Mimi ni mmojawapo ninayehitaji ujauzito.
   
 6. nimbagonza

  nimbagonza JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2015
  Joined: Jun 15, 2015
  Messages: 755
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 80
  Ovulation prediction kit zinapatikana wapi?
   
 7. nimbagonza

  nimbagonza JF-Expert Member

  #7
  Sep 15, 2015
  Joined: Jun 15, 2015
  Messages: 755
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 80
  Mm mzunguko wangu haueleweki nimejaribu sana lkn mimba haingii mzunguko wangu ni 24,23,25
   
 8. S

  Step by step JF-Expert Member

  #8
  Sep 15, 2015
  Joined: Apr 28, 2014
  Messages: 960
  Likes Received: 773
  Trophy Points: 180
  kama ni mkristo tafuta watumishi wenye nguvu akuombee trust me hizi mambo ni sprituary based
   
 9. diplomatics

  diplomatics JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2015
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 217
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Samahani kwani mtu unaweza kugundua kuwa una ujauzito baada ya muda gani?
   
 10. donbeny

  donbeny JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2015
  Joined: Aug 19, 2013
  Messages: 2,711
  Likes Received: 1,474
  Trophy Points: 280
  Many Thanks i need a second baby ASAP
   
 11. Troll JF

  Troll JF JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2015
  Joined: Feb 6, 2015
  Messages: 6,067
  Likes Received: 8,302
  Trophy Points: 280
  Some reported First week but majority in two-three weeks!
   
 12. aminiusiamini

  aminiusiamini JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2015
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,277
  Likes Received: 1,112
  Trophy Points: 280
  Vip style ya pembeni ??
   
 13. Troll JF

  Troll JF JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2015
  Joined: Feb 6, 2015
  Messages: 6,067
  Likes Received: 8,302
  Trophy Points: 280
  ndo ipi?
   
 14. f

  fyika Member

  #14
  Oct 8, 2015
  Joined: Oct 4, 2015
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Eti kuna couple inaweza kuwa na damu ambazo hazishabihisni hivyo kutopata watoto..km ndivyo je km ni wanandoa wafanyeje
   
 15. Humble African

  Humble African JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2015
  Joined: Jul 28, 2013
  Messages: 2,702
  Likes Received: 4,063
  Trophy Points: 280
  Mtoa mada umerudisha credibility ya JF kwa mada murua kabisa hii.
   
 16. Peace92

  Peace92 JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2015
  Joined: Jul 16, 2013
  Messages: 249
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  je na jinsi ya kupata mimba ya watoto mapacha unafanyaje?
   
Loading...