Search results

  1. J

    MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    unataka kujua nn aswa?kuna kabila la wajaluo kwa wingi samaki na chakula kikuu ni ugali wa mtama uliochanywa muhogo,na ni wakorofi
  2. J

    Hivi ndani ya gari kuna hewa 'Air Circullation'

    ww elimu yako ni kiwango gani?iyohewa itatoka wapi wakati umefunga kila kitu?jaribu uonw balaa lake
  3. J

    Mnyika Mbunge wangu, ya wengine unayajua, yako je?

    kazi ya mbuge sio kuonekana mtaani kwako,kwani alikuadi kuwa atakuwa anaoenekana mtaani kwako?au unataka kuomba hela ya bia fanya kazi acha uvivu
  4. J

    Jengo walilopanga CHADEMA kama Ofisi, Mtaa wa Ufipa Kinondoni ni la Nani na kodi yake ni kiasi gani?

    ulisikia ni ya mtei ila huna uhakika njoo na facts sio maneno ya kusikua
  5. J

    Askofu Gwajima ajisalimisha kituo cha Polisi

    saivi ndo unasema sio madhabau mbona kipindi kile cha ulimboka,kamanda kova alisema yule mkenya alimfata gwajima madhabauni? na ilikuwa hapohapo Tanganyika pekas
  6. J

    Tuhuma dhidi ya Oluoch - CWT Taifa

    we unachuki binafsi we mjaluo wa wapi?au umeshindwa kujenga hoja unaleta habari za ukabila na pia migogoro aitatuliwi hapa jf
  7. J

    Wasomi: Tundu Lissu Muongo na anafeki sana

    mbona usemi ufeki wake?wasomi ni akina nani?au unataka tumwamini makonda
  8. J

    Vijana acheni mambo ya ajabu

    hoja nn sasa amazing au mvua fulani?ebu kuwa serious
  9. J

    Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

    umesahau kuna rorya mtu anaitwa lameck Airo atutaki kuona ata sura yake,badala yaje aje owawa au makohoko
  10. J

    Kiti cha Ubunge Rorya - Wananchi Jimbo la Rorya muwe makini

    alitangaza nia ata kabla izo tuhuma unazosema so akuna sababu ya kumuhukumu,
  11. J

    Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

    sema utamuunga mkono sio tutamuunga wewe na nani?
  12. J

    Nauza Carina Ti toleo la 2001, cc 1490 No DDB

    achaa tamaa uza milioni tisa ndo utafanikiwa
  13. J

    Askofu Gwajima atunukiwa PhD (Doctor of Philosophy)

    gwajima sio askofu ni (mchungaji)
  14. J

    Stephen Owawa ajipanga kugombea ubunge Rorya 2015

    Tello tim matek,things are not easy
  15. J

    Stephen Owawa ajipanga kugombea ubunge Rorya 2015

    Ni owawa ni jasiri ila ajipange coz MAKOHOKO nae katangaza nia jana
  16. J

    GX 100 inauzwa 4m inapungua kidogo

    ndugu Gx mia nani anunue?iyo utakufa nalo
  17. J

    Picha: Samuel Sitta amenihuzunisha

    Ata mm nimesikitishwa sana na uyo babu
  18. J

    Shamba linauzwa kwa bei nafuu

    Kimbiji hamna issue
Back
Top Bottom