F Forecaster Senior Member Nov 22, 2013 192 102 Apr 25, 2015 #1 Kwa wataalam wa magari naomba kujuzwa hivi kama gari ipo off na milango yote imefungwa; kama mtu yupo ndani anaweza pata hewa ya zoxygen
Kwa wataalam wa magari naomba kujuzwa hivi kama gari ipo off na milango yote imefungwa; kama mtu yupo ndani anaweza pata hewa ya zoxygen
J jamasike Member Nov 4, 2014 24 2 Apr 25, 2015 #3 ww elimu yako ni kiwango gani?iyohewa itatoka wapi wakati umefunga kila kitu?jaribu uonw balaa lake