tusitegemee majibu hapa... cdm huwa wanalipuka kwa hoja zinazowalenga...
Nyumba ya Mtei hiyo,mzee anakula rent tu.Kwa anayejua jamani msaada wa hapo juu
Nyumba ya MTEI hiyo,jiulize kwa nini chama hakimiliki jengo la ofisi miaka yote hiyo,wakijenga ofice Mtei atakula wapi?maana atakosa wapangaji Kama Chadema wanaomlipa rent kubwa mpaka vilembwe wake watakula,na watakufa wanaiacha hiyo rent kwa jinsi ilivyo kubwakwanini watu wanapiga chenga hili swala? nyumba ni ya nani na kodi yake ni kiasi gani? Tundu lisu, nyerere, mnyika nyote mpo humu, hebu jibuni kwa uwazi . Nyinyi bwana miezi michache mtakuwa mawaziri, makatibu wakuu na wanasheria wakuu wa nchi hii. Tunataka transparency ianzie hapa kabla ya novemba. KODI YA HILE NYUMBA PALE MTAA WA UFIPA NI KIASI GANI? NA ANALIPWA NANI? Mnapoulizwa masuala msione watu wanatania, tupo serious.
Pole! Umesahau chama cha majambazi (CCM), Chama cha Mafisadi (CCM), Chama cha Manafiki (CCM). CHADEMA NI Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Usijifanye hujui.chadema majambazi, mafisadi na wanafiki.
Katika vitu vinavyonikera kuhusu CDM ni lile jengo. Yani it sums up all their ambitions and aspirations.10 years after becoming a major party, 5 years after being the main opposition party yet, no trace of an institution can be found.
CDM needed a proper institutional Building. I am sure they could have mobilized at least $1M to have a proper building. The current Building signifies transition and lack of permanency.
Kalaaaniwa yeye aliyekuzaa wewe na kizazi chako chote kitakachotokana na damu yako pia kimelaaaniwaaa kama ruzuku ni ml 300 Kofi kwa mwezi ml 80 je kwa miezi 4 watakuwa wamelipa kiasi gani? Na miezi 8 iliyobaki Pesa inatoka wapi? Then chama kinajiendeshaje? Takataka kama hi I ni chukizo mbele ya Mungu na kizazi kilichopo na kijachoo eti nawe utajiita mwana propaganda poor yoouuuuu
Chama kina RUZUKU 300MIL+,Bado tunakichangia na wakati huohuo watangaza NIA tumeambiwa TUJITEGEMEE Kampeni.
Manunuzi ni MBOWE,MIKOPO-MBOWE,FEDHA CDM IKIPATA KUTOKA CHAMA RAFIKI MBOWE ANACHUKUAMTK said:Nyani haoni.