Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

Status
Not open for further replies.
Pole sana mkuu. Ushindi wa serikali za mitaa umewafanya kuwa viziwi na vipofu. Padri asiyesamehe ndo huyo anakimaliza chama chenu.

taratibu za chama hazina msamaha,kuna haja gani ya kutoa msamaha kwa mtu asielijua kosa lake!
 
Halafu wanataka tuwape Nchi, Muhuni kama huyu adhabu yake ni kumpiga chini ifikapo october ili akaendelee kuvaa mlegezo huko mitaani, kwenye ubunge ameingia kwa bahati mbaya tu!

Sugu mbeya wamemchoka kabisa, muda wote kuanzia asubuhi mpaka jioni amelewa bange na konyagi, hakuna kitu alichowafanyia wana mbeya
 
Zitto the legend.....Chadema wadau shazi lkn hamna kiongozi pale....yeyote bota liende ilimradi Chadema...lkn Zitto huyu nikiongozi aise..
 
Halafu wanataka tuwape Nchi, Muhuni kama huyu adhabu yake ni kumpiga chini ifikapo october ili akaendelee kuvaa mlegezo huko mitaani, kwenye ubunge ameingia kwa bahati mbaya tu!

Kipindi kile raia hawana uelewa mzuri na chama hiki wakijua ni cha kuwakomboa so,wamechukua majimbo na sera yao ya kulazimisha "UHANARAKATI" huku raia wema wanakufa kutokana na vurugu zao zisizo na kichwa wala Miguu. Sasa hivi WATANZANIA hawataki tena kusikia huo ujinga huku wakineemeka wachache kwenye Saccoss.
 
Hatari sana, Mungu ni mkubwa ametufumbua macho na hawa wahafidhina
 
Kipindi kile raia hawana uelewa mzuri na chama hiki wakijua ni cha kuwakomboa so,wamechukua majimbo na sera yao ya kulazimisha "UHANARAKATI" huku raia wema wanakufa kutokana na vurugu zao zisizo na kichwa wala Miguu. Sasa hivi WATANZANIA hawataki tena kusikia huo ujinga huku wakineemeka wachache kwenye Saccoss.

Tatizo la viongoz wa CDM wanashindwa kutofautisha siasa za kipindi cha kudai Uhuru na siasa za vyama vingi ambayo wanapewa ruzuku na serikali ya CCM
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom