Msigwa namuonea huruma,wakati lema na sugu wakianza kupuliza bange kabla ya kupanda jukwaani yeye sijui anakuwa wapi
CHADEMA Bado sana kwa Morogoro mkajipange sana
teh teh kwani hao wana morogoro wote ni degree holder ama..Sugu - std 7
Msigwa - form 4
Lema - form 3
...Sasa mwanamorogoro usipoteze muda wako kwenda uwanjani kuwasiliza hao vilaza.
haa haa una utani na zitto wewe! Mwenzako anajipanga kugombea dar!Hivi Lema naye ni muheshimiwa? Muheshimiwa gani muhuni kiasi hicho? Arusha mjini hatumtaki tena, tunataka kuongozwa na mwenyeji...! Iwe anatoka CDM au CCM but tunataka mwenyeji mwaka huu!
mkuu uliza moro cdm ina mitaa mingapi? Ndo utajua!CHADEMA Bado sana kwa Morogoro mkajipange sana
teh teh, mbavu zangu mie!Yaani hiyo ni sawa na kusema Nape unamuonea huruma ziara ya Arusha wakati Kinana akianza kusaka meno ya tembo kwanza, yeye Nape sijui anakuwa wapi?