Search results

  1. Mhoja

    NEC: Tuwatumie Viongozi wa Dini katika Uchaguzi

    Napenda kuishauri Time ya Uchaguzi iwatumie Viongozi wa Dini katika kusimamia zoezi la uchaguzi siku ya Jumapili. Kwa haya malumbano yanayoendelea ya kukaa mita 200 kutoka kwenye kituo au kwenda nyumbani baada ya kupiga kura yanaweza yakaisha. Naamini kila eneo lina Viongozi wa Dini kama vile...
  2. Mhoja

    Waraka kwa tume ya mabadiliko ya katiba: Mabaraza ya katiba ya wilaya yawe hivi!

    MABARAZA YA KATIBA YA WILAYA YAWE HIVI Tume ya mabadiliko ya katiba imetoa mwongozo wa jinsi ya uundwaji wa mabaraza ya katiba ya wilaya. Mie sina shida sana na uendeshaji wake, bali nina matatizo kuhusu muundo na utaratibu wa kuwapata wajumbe watakaounda mabaraza hayo. Kwa mujibu wa Tume...
  3. Mhoja

    Mbeya kwarindima kwa Mabomu, risasi!

    Wadau risasi na mabomu yanarindima mwanjelwa mbeya kati ya polisi na vijana. Barabara ya kibiashara ilifungwa. Ni hatari
  4. Mhoja

    Kuwa milionea inaanzia sh. Ngapi?

    Wadau nina tzs milioni mbili, je nasitahili kuitwa milionea au kuna kiwango chake? Nawasilisha!
  5. Mhoja

    Dv-2013: Tatizo kubwa ni picha!

    Wadau nimejaribu kuingiza picha zinakataa, masharti waliyotoa kuhusu picha ni mengi mno. Anayejua atusaidie kutujuza!
  6. Mhoja

    Ushauri wa biashara!

    Wana jf, naombeni ushauri, nina milion 10, nifanye biashara ipi inayolipa, nina llb na ni mtumishi. Nawasilisha kwenu!
  7. Mhoja

    Jairo hana kosa

    Kwa wanasheria wenzangu tuhuma za jairo za kuchangisha fedha hazina base ya sheria, bali ni base ya kisiasa. Tujadili!
  8. Mhoja

    Startimes mbeya wametuibia

    Ndugu Wana JF, tarehe 1 may Kampuni ya Startimes inayojihusisha na masafa ya kurusha matangazo ya television kwa njia ya digital ilifungua mtambo wake wa kurusha masafa hayo mkoani Mbeya, cha ajabu mamia ya wananchi wa mkoa huu leo walijazana kurudisha ving'amuzi hivyo baada ya kushindwa kufanya...
  9. Mhoja

    Namshauri Nape aache visasi

    Wana JF, nimemsikia jioni hii BBC Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Bw. Nape kuhusu kujivua gamba. Ila kwa matamshi anayoyatoa ya kumchafua Ndg. Edward Lowasa siyo ya kiungwana wala kianaume, kwa sababu mi naamini wanaume kama kuna matatizo huwa wanakaa na kuongea na kuyamaliza au kutoyamaliza...
  10. Mhoja

    Ziara ya dr. Bilal (Mbeya) yadoda

    Pamoja na kutangaza kwa siku 2 kila mtaa wa jiji la mby watu hawakujitokeza kumpokea vp dr. Bilal, hii inaashiria nini?
  11. Mhoja

    John lumbambe: Yupo wapi?

    Wana jf, naombeni kwa mwenye taarifa za aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya rais ya kubinafsisha mashirika ya umma tanzania ndugu john lumbambe yupo wapi na anafanya nini? Maana huyu ni mmojawapo wa watu wasiopaswa kusahauliwa katika the list of shame. Aliyauza mashirika yetu kwa bei chee na kwa...
Back
Top Bottom