Dv-2013: Tatizo kubwa ni picha!

Mhoja

JF-Expert Member
Aug 13, 2010
207
24
Wadau nimejaribu kuingiza picha zinakataa, masharti waliyotoa kuhusu picha ni mengi mno. Anayejua atusaidie kutujuza!
 
Kwa wasiojua, dv-2013 ni utaratibu wa kutoa visa wa marekani kwa wageni 50000 kila mwaka kwa njia ya bahati nasibu!
 
Nenda photo point, mkapa tower, waambie watakupiga picha inayotakiwa na kukupa soft copy, mimi nifanya hivyo 2 years back
 
tumia path ya kenya au uganda itakubali. ikishindikana basi jaribu kuedit a picture from Arabs-Countries itakubali maana wanaruhusu hizo picha ili wapate picha nyingi za kina al-Quida.
 
Back
Top Bottom