Search results

  1. Lung'wecha

    Toyota spacio inauzwa bei chee!!

    Namba DEE Mwaka 2003 Engine size ni cc 1,490 Ipo kwny hali nzuri, inatembea, tairi mpya radio, seat cover n.k Bima mpya Engine kavu, Imetunzwa sana! Location: Udsm/Ubungo Call/WhasApp 0764875468 au 0655744410 Bei ni 8.7m (mazungumzo yapo) Picha zaidi na maelezo, njoo Pm
  2. Lung'wecha

    Tatizo la taa ya pembetatu kwanye toyota raum

    Wakuu asalaam aleykum! Kuna hizi gari toyota raum kuwa na tatizo la kuwaka "alama ya pembetatu na mshangao ndani yake (red triangle sign)" kwenye dashbord.Mwanzoni nilidhani ni hii tu yangu ila nimefatilia kwa watu wengi wenye raum nakuta tatizo hilohilo na wanaendelea na mishe zao, wengine...
  3. Lung'wecha

    Maadhimisho ya miaka 55 ya chuo kikuu cha Dar es Salaam(UDSM)

    Kumbukumbu ya miaka 55 toka kuasisiwa kwa chuo kikuu Dar es salaam yanaendelea hapa chuoni,chancellor hon.Dr.J.K Kikwete yupo kama mwenyeji! Prof.Tade Aina toka Nigeria,jaji mstaafu Warioba na wadau mbalimbali wa elimu wamehudhuria .....Tuendelee kupeana updates
  4. Lung'wecha

    Tatizo la kifua kuwasha

    Jamani wataalamu msaada kwa anayejua tatizo linalosababisha kifua kuwasha kwa ndani anipe ushauri. Kinanisumbua sana pia japo sikohoi sana.
  5. Lung'wecha

    Natafuta driving school kwa Iringa Mjini

    Mwenye ufahamu anijuze kituo/chuo kizuri cha kujifunzia udereva hapa iringa pamoja na gharama zake hadi kupata leseni.Asanteni
  6. Lung'wecha

    NEY WA MITEGO na wimbo mpya uitwao LOWASSA!

    jamaa aliwahi kusema katika nyimbo zake kuwa lowassa akiwa mgombea atampigia kampeni na sasa ameachia juzi kati wimbo uitwao lowassa! ingia www.tabelltz.com uudownload umsikie anamwaga sera!
  7. Lung'wecha

    CHADEMA/UKAWA kwanini hamkwenda jiji la Tanga kumtambulisha Lowassa?

    hili swali najiuliza sana,mbona ukawa mmepita majiji manne tu i.e (dar,mwanza,arusha na mbeya)+visiwani kumtambulisha mgombea na mkaacha tanga kama jiji pia,au ni mipango tu? mwenye kujua tafadhali!
  8. Lung'wecha

    Natafuta gym, Iringa Mjini

    mwenye kufahamu maeneo yenye gym kwa iringa anijuze,hasa na gharama zake
  9. Lung'wecha

    kipi huchelewesha kuingizwa kwenye payroll/lawson kwa waajiriwa wapya??

    mwenye uelewa anijuze maana tumeshasaini mkataba wa kazi toka juni 1 serikalini ila tukaambiwa kuanza kazi adi tuingizwe kwenye payroll na watu wa lawson! lakini adi leo hakuna jibu! hii inakuwaje wataalamu?
  10. Lung'wecha

    Natafuta rafiki wa kike Muislamu

    Nina 24 age, nataka rafiki wa kike aliye popote awe 18~25 of age. Kama yupo ani pm
  11. Lung'wecha

    Tuliofanya usaili Mkwawa University

    Kama kuna mdau alihudhuria kati ya 25 hadi 27 feb, tujuzane mbona hawa jamaa kimya, hakuna update!
  12. Lung'wecha

    Mpenzi anapokwambia kuwa ni mjamzito kumbe hana ana maana gani?

    Mpenzi wangu kanirusha roho kuwa ni mjamzito baada ya majadiliano ya kama siku 2 kuwa eti ananiomba aitoe na kumkatalia.Baadae anasema hakuwa mjamzito ila alinipima tu! dah sijaelewa kabisa kwani wasichana hufanya hivyo. Naomba maoni wadau
  13. Lung'wecha

    Ukiitwa kazini Serikalini, kuna pesa ya awali ya kujikimu?

    Nauliza ndugu zangu Unapoitwa kazini Serikalini inakuwaje kuhusu pesa ya kuanzia maisha hapo kazini? Je, nauli hurudishiwa? ( Kama umetoka nje ya mkoa) au huwa kuna salary advance? Mwenye kujua msaada tafadhali!
  14. Lung'wecha

    Kuitwa kazini Mkwawa

    nilipigiwa simu ya confirmation kuwa nimepita katika usail uliofanyika feb 2015 na kuarifiwa kusubiri barua toka tume ya ajira mwezi huu kwa ajili ya kuripoti! ombi langu ni kama kuna mdau ataona tangazo la kuitwa kazini kutoka tume tujuzane hapa jf au pm! asanteni
  15. Lung'wecha

    Siri ya mishahara serikalini na fumbo la madaraja

    nimekuwa mhanga sana katika suala la upangaji wa mishahara na madaraja yake, mfano TGOS,TGS, PSOS n.k watu tunaomba kazi serikalini kwa kuangalia madaraja yale lakini wengi hatuelewi ni kiasi gani hasa! mbaya zaid baadhi ya taasisi za serikali sijui wana madaraja yao?? mf,unawezakuta tangazo...
  16. Lung'wecha

    Hii POSS 4 ni kiasi gani cha mshahara?

    Kwa anayefahamu msaada,ipo katika taasisi za elimu(salary scale poss 4) be sure please.
  17. Lung'wecha

    nauli ya iringa to mwanza ni tsh ngapi?

    kwa anayefaham nauli ya iringa to mwanza na mabasi yanayoenda anijuze!
  18. Lung'wecha

    Msaada: anayejua ngazi ya "Poss 4" ya mshahara

    naomba kujuzwa kuwa poss 4 ni Tsh ngapi?
  19. Lung'wecha

    Nauza ps 2 moja!

    Ipo safi ina pad 2 japo moja imeharibka kwa hiyo pad moja inatumika, inatumia cd na flash,ina memory card 1 na cd 3 ! bei ni 110,000 tu.0764875468 kwa anayetaka
  20. Lung'wecha

    Majambazi yaua nesi

    Watu wanaosadikika kuwa majambazi wamevamia duka moja la madawa lilokuwa linamilikiwa na nesi mmoja kisha wakamuua kwa risasi usiku huu muda wa saa 2 maeneo ya Kisesa Mwanza pasipo kuchukua pesa au kitu chochote.
Back
Top Bottom