Tatizo la kifua kuwasha

Lung'wecha

JF-Expert Member
Aug 20, 2014
927
574
Jamani wataalamu msaada kwa anayejua tatizo linalosababisha kifua kuwasha kwa ndani anipe ushauri.

Kinanisumbua sana pia japo sikohoi sana.
 
Hata mie ninalo hilo tatizo ila kwa kuwa nina asthma basi huwa najua ni kwa sababu hiyo
 
Unless otherwise waje wataalam watueleweshe kwangu siku hizi limepungua sana hilo tatizo
 
Jamani wataalamu msaada kwa anayejua tatizo linalosababisha kifua kuwasha kwa ndani anipe ushauri.

Kinanisumbua sana pia japo sikohoi sana.
Pole sana mkuu!
Muone daktari kwa uchunguzi zaidi.
Na ikiwa utagundulika kuwa una maradhi ya pumu (asthma) basi usisite kunitafuta mimi nnao uwezo wa kuyatokomeza maradhi haya ndani ya siku7 tu na hutaumwa kamwe.
Cc Tabrett
 
Mkuu kama upo uwezekano anzisha uzi ili uwasaidie watu wanaosumbuliwa na pumu. Unajua kipindi hiki cha baridi huwa kuna mlipuko mkubwa saana wa maradhi ya pumu.
 
Mkuu nnaponyesha pumu toka siku nyingi sana na uzi niliweka kitambo 2014 mods wakauunganisha na uzi wa mpiga dili mmoja aishie ughaibuni ambaye hutibu watu kwa $300 kwa dozi!
Mimi mwenyewe nilikuwa muhanga wa pumu kwa zaidi ya miaka30 nikatafuta dawa nikapona nikaamua kusaidia wengine.
Hata nikianzisha uzi mwingine leo, mods wataupiga mtama!
Cc hang'olwa etc
 
Duhh pole sana!
 
usikate tamaa
 
Duhh pole sana!
Ni kawaida sana mkuu ila pole ya dhati kabisa tuilekeze kwa wagonjwa ambao bado wanatumia dawa za kutuliza maumivu kwa kumeza tembe na kujidunga sindano!
Asthma inatesa sana nakumbuka enzi zile kipindi cha mawingu kama hiki nilikuwa natamani usiku usiingie make nilikuwa sipati usingizi kwa mashambulizi ya kubana kifua na kukohoa kusikoisha!

Asante Mungu kwa kuniponya!

Waambie ndg, jamaa na marafiki kuwa pumu ni ugonjwa dhaifu sana unatibika hakuna haja ya kuteseka.
Jipatie tiba yako sasa...
 
usikate tamaa
Sikati tamaa mkuu!
Id yako inanikumbusha enzi zilee nipo Box2 Songea Boys kipindi cha mvua kama hizi nilikuwa siwezi kwenda class ilikuwa ni muda wote najifunika gubigubi mablanket na makoti mazito walau nipate joto kujikinga na mashambulizi ya asthma!!
Asthma ugonjwa mbaya sana hospitali huponi na mwisho wake ni kifo tu!

Tuungane kuutokomeza!!
 
Back
Top Bottom