Search results

  1. popo1986

    John Mnyika, wapigakura wako wanalalamika umewatelekeza. Je, unafeli wapi?

    Nimesikia kelele nyingi za watu wako huku Mpiji Magohe kuanzia wakiwa stendi ya Mbezi ya shamba wakisubiri daladala zetu(mimi ni dereva wa daladala eicher kutoka Mbezi kwenda Mpiji). Watu wanakuongelea sana lakini sio kwa uzuri wengi wanasema umewasaliti na shida wanazopata hujawahi hata kuja...
  2. popo1986

    Simanzi: Page ya TFF haina mpango wa kuhamasisha chchte mechi ya Stars.

    Nimepitia katika Instagram page ya #TFF nikitafuta taarifa rasmi za viingilio na wapi nitaweza kununua Ticket leo mapema ili nijiandae kwa mchezo wa kesho kushangilia maana na mm nimehamasika sanaa,lkn cha ajabu page hiyo haina chochote cha updates kama hizo na ukizingatia mchezo wa muhimu sana...
  3. popo1986

    Mechi ya Stars ticket zinauzwa wapi?

    Naombeni mtujuze ticjet zinauzwa wapi na bei zake tafadhari naomba kwa yyte mwenye uelwqa anisaidie hao wanaoongea kuhakasisha watu sioni hata mmoja akizungumzia swala la Ticket l. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. popo1986

    Mechi ya Stars ticket zinauzwa wapi?

    Wakuu naomba kujua mechi ya Juma pili Taifa Stars na Uganda Ticket zinauzwa wapi? Ili tuwahi mapema? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. popo1986

    TFF iweke viwango vya viingilio chini ili tujaze uwanja mechi ya Taifa Stars

    Kichwa cha habari chajitosheleza hapa naomba kuzimza na kamati ya Ushindi wa Stars ikiongozwa na mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda, binafsi nimehamasika saana na ushawishi unaofanywa na kamati lkn tatizo linakuwaga kiingilio wanavyoweka hao TFF hawajali, mm siendagi uwanjani hata kama ikiwa simba...
  6. popo1986

    TFF wekeni viingilio vya chini tujaze uwanja mechi ya stars

    Habari zenu jamani, najua wahusika wapo hapa jukwaani tubaomba sana Uongozi muweke kiingilio cha bei ya chini ili wananchi tuujaze uwanja ktk kushangilia mechi ya Taifa Stars Vs Uganda ipo nguvu kubwa sana ktk sauti nw kelele za mashabiki. Kama mtaweza muweke hata 2,000/= mzunguko hakika tutajaa...
  7. popo1986

    Tahadhari: Uliye karibu na John Mnyika mpe ujumbe wake huu

    Hii ni Tahadhari kwake na uongozi mzima wa Chadema, ; John Mnyika tangu tukupe kura nyingi za kutosha umetusahau huku mbezi na posho za ubunge ndio zimekusahaulisha kabisa. Matatizo yetu huku jimboni unayajua na hatuoni mabadiliko yyte.. isitoshe kama imeshindikana huko juu kutatua basi njoo...
  8. popo1986

    TFF ianze michakato ya kutengeneza viwanja vyake na kuiachia serikali viwanja vingine

    Wakuu habari za leo, Napenda kuiweka hii hoja mezani ili tuishauri shirika la Michezo Tanzania. Inashangaza sana uwanja wa mpira wa Zanzibar wa Amani ndio huo unaotumiwa kwa gwaride na shughuli za serikali mfano sherehe za Mapinduzi, hali hii inapelekea uwanja kutokuwa na ubora kama viwanja vya...
  9. popo1986

    IST inauzwa bei poa

    Habari zenu wana jf, kunadharura imetokea iliyosababisha uhitaji wa fedha kwa haraka inabidi niuze gari hii Naomba kwa atakaye hitaji tuwasiliana kwa Namba 0713926364 Bei ni Tsh 13 mil Karibuni
  10. popo1986

    Ist inauzwa bei poa

    Habari zenu wana jf, kunadharura imetokea iliyosababisha uhitaji wa fedha kwa haraka inabidi niuze gari hii Naomba kwa atakaye hitaji tuwasiliana kwa Namba 0713926364 Bei ni Tsh 13 mil Karibuni
  11. popo1986

    Nauza kiwanja Mbezi Msakuzi

    Nauza kiwanja kipo Mbezi msakuzi umeme na maji vipo hapo hapo 40*20 40*17 Tsh. Mil. 11.5 0625568600 Kiwanja ni changu piga simu tuongee Karibu.
  12. popo1986

    PICHA : MUUZAJI WA AINA HII YA VIATU

    Picha zinajieleza mm ni mfanya biashara mjasiliamali naanza biashara. Natafuta anaeuza viatu hibi ili nianze biashara kwa kununua na kuuza. Mawasiliano 0625 568600 au 0755 103405
  13. popo1986

    Msaada: Nitapata wapi muuzaji wa bidhaa hizi?

    Nipo DSM namtafuta muuzaji wa bidhaa hizi za viatu aina hii Kama unafanya biashara ya viatu vya namna hiii basi tuwasiliane 0625 568600 au 0755 103405
  14. popo1986

    Ninauza Kiwanja Mbezi Msakuzi .

    Kuna kiwanja kinauzwa kipo Mbezi Msakuzi, mazingira ni tambarare, umeme na maji ya Uhakika na yapo. Urefu 40 * 20 40*16 Bei poa kulingana na hali ilivyo ya maisha Mil. 9 Mawasiliano 0625568600 Piga simu tuongeee
  15. popo1986

    Msaada juu ya DHL

    Naulizia mtu mwenye taarifa DHL naulizia gharama za kutuma l mzigo nje ya nchi Zipoje kwa percel ndogondogo Kwa wazoefu naombeni msaada
  16. popo1986

    Wataalam wa madini nisaidieni

    Hivi nasikia Tanzania hii kuna madini mengi sana jamani na biashara ya madini watu wanatengeneza pesa sana mm nataka maarifa juu ya madini haya yanayo patikana humu nchi 1. Greenganet 2. Acqumarine.. Samahani kama nimekosea kuyaandika siyajui vzr
  17. popo1986

    Msaada Updating CD ROM

    Ndugu zangu nimejaribu Ku burn CD imekataa nawezaje Ku update CD ROM. Drivers?
  18. popo1986

    Msaada: Laptop hai-burn DVD

    Habari zenu Professionals Naomba msaada LAPTOP yangu inakataa kusoma DVD ninataka Ku burn haisomi kila DVD empty nikiweka inaanyesha X kwamaana hairambui..nimrjaribu aina nyingi za DVD lkn wapi Naomba msaada hapo shida inaweza kuwa wapi?
  19. popo1986

    Water pump inauzwa

    Inch 2 Inatumia Petroleum Tsh.200,000/= Mawasiliano 0755103405
  20. popo1986

    Water pump inch 2 inauzwa

    Wakuu kuna MTU anauza water pump kwa Tsh. 200,000/= ameutumia mwezi mmoja na anauza kwa sababu anashida na fedha kwa dharura Inatumia. Petroleum Inch 2
Back
Top Bottom