John Mnyika, wapigakura wako wanalalamika umewatelekeza. Je, unafeli wapi?

John Mnyika, wapigakura wako wanalalamika umewatelekeza. Je, unafeli wapi?

popo1986

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
1,120
Reaction score
373
Nimesikia kelele nyingi za watu wako huku Mpiji Magohe kuanzia wakiwa stendi ya Mbezi ya shamba wakisubiri daladala zetu(mimi ni dereva wa daladala eicher kutoka Mbezi kwenda Mpiji).

Watu wanakuongelea sana lakini sio kwa uzuri wengi wanasema umewasaliti na shida wanazopata hujawahi hata kuja kuwasikiliza na kutatua matatizo kwa pamoja au kuongea njia za kuishinikiza Serikali kupitia kodi zao ili iwafanyie kitu.

Wanalalamika Wamekosa mtu wa kuwaongoza ktk hilo watu wako huku.

Kwa hali ilivyo huku huwezi kupewa kura tena jiongeze waambie CHADEMA wakupe jimbo la Kibaha huko kwenda Mlandizi. Huku kumenuka tayari...

NIMEMALIZA KUFA KUFAANA...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimegundua watu wengi hawapendi kuambiwa ukweli
 
Back
Top Bottom