Wataalam wa madini nisaidieni

popo1986

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
1,120
371
Hivi nasikia Tanzania hii kuna madini mengi sana jamani na biashara ya madini watu wanatengeneza pesa sana mm nataka maarifa juu ya madini haya yanayo patikana humu nchi
1. Greenganet
2. Acqumarine..

Samahani kama nimekosea kuyaandika siyajui vzr
 
1:Greengarnet ipo tanga, lindi, morogoro.

2: aquamarine ipo Namtumbo Songea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom