Simanzi: Page ya TFF haina mpango wa kuhamasisha chchte mechi ya Stars.

popo1986

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
1,121
1,250
Nimepitia katika Instagram page ya #TFF nikitafuta taarifa rasmi za viingilio na wapi nitaweza kununua Ticket leo mapema ili nijiandae kwa mchezo wa kesho kushangilia maana na mm nimehamasika sanaa,lkn cha ajabu page hiyo haina chochote cha updates kama hizo na ukizingatia mchezo wa muhimu sana kesho. Hii inanionyesha kama TFF wanajua mchezo hauna umuhimu pengine na ndio maana hakuna updates nyeti kama hizo. Hii ni simanzi kwa Shirikisho hili. Unaepata ujumbe huu wafikishieni hao TFF
SOURCE:

Tanzania Football Federation (@tanfootball) • Instagram photos and videos

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mc Tilly Chizenga

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
4,530
2,000
Mbona updates ziko nyingi tu???Hiyo ya tiketi ni tatizo LA siku zote LA wahusika ktk soka ambao nadhani kuna faida wanapata wakifanya uzembe huo
Screenshot_20190323-143256.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
crome20

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
938
500
Hata website yao iko shallow wala haionyeshi ticket zinapatikana vipi?. Bado wana mawazo ya kupanga folleni Taifa
 
mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
3,411
2,000
Nimepitia katika Instagram page ya #TFF nikitafuta taarifa rasmi za viingilio na wapi nitaweza kununua Ticket leo mapema ili nijiandae kwa mchezo wa kesho kushangilia maana na mm nimehamasika sanaa,lkn cha ajabu page hiyo haina chochote cha updates kama hizo na ukizingatia mchezo wa muhimu sana kesho. Hii inanionyesha kama TFF wanajua mchezo hauna umuhimu pengine na ndio maana hakuna updates nyeti kama hizo. Hii ni simanzi kwa Shirikisho hili. Unaepata ujumbe huu wafikishieni hao TFF
SOURCE:

Tanzania Football Federation (@tanfootball) • Instagram photos and videos

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe naye somtime utumiege akiliiii. Shabiki wa kweli wa Mpira Website aijulie wapi? Punguza ujuaji na kujifanya Matawi ya juuu bado Mashabiki wetu hata asilimia 1 hawajafikia hatua ya kupata hamasa Via Tovuti ya TFF never. Sie Tupo zetu Kwa Mtogole tunapasha Vigoma vya kesho tukakinukishe wewe endelea kutafuta Hamasa ya Website
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom