IST inauzwa bei poa

IST inauzwa bei poa

popo1986

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
1,120
Reaction score
373
Habari zenu wana jf, kunadharura imetokea iliyosababisha uhitaji wa fedha kwa haraka inabidi niuze gari hii Naomba kwa atakaye hitaji tuwasiliana kwa Namba 0713926364
Bei ni Tsh 13 mil
Karibuni
1481011838367.jpg
1481011844331.jpg
1481011849907.jpg
 
Iyo bei kweli bei poa imezidi paka bei ya Gari mpya
 
Hili ni Jukwaa la Jokes? Maana hii thread nimecheka sana...
 
Kuna typing error
Alimaanisha 1.3 ml
Kama mimi muongo ajitokeze apinge.
 
Njoo nkupe Mln 9 cash...money on the table......0715591141

OVA
 
Hiyo cyo bei poa ni moto wakati mpya unapata kwa12m
 
Iyo bei imezid ad ya mpya so utauza naro sura tu kwa bei hiyo hupati labda useme 10 fasta utapata wateja
 
Back
Top Bottom