Je ndoa ya Jamshid na Al-Qaida Itamfikisha anakotaka kwenda?
Mauaji ya Mombasa na pwani ya Kenya, yaliyotokea hivi karibuni, na yale yale ya Zanzibar siku chache kabla yanaonyesha wazi kuwa kuna mkono wa Jamshid nyuma yake. Mbinu zinazotumika ni chinja chinja ya Al-Qaeda yakuua watu wasio na...
Rais Awalipua Walokole:
Awataja Manabii wa Uwongo; Asema wanachangia umaskini wa Taifa, hawana huruma na raia. Ashangaa wingi wao kuzidi manabii wa kwenye Biblia.
Garama za Harusi
By Simson Mrema
https://www.facebook.com/groups/44794736841/permalink/10151207823606842/
Katika hali ya kawaida kabisa, kama wewe ni mwanaume na unataka kuoa, jiandae kwa mambo haya:
1. Kujitambulisha ukweni. Hapo utatakiwa uende kijijini alikozaliwa mkeo mtarajiwa...
Ni hivyo vijisenti vya Waarabu vinawapumbafusha wanafumbia macho ukweli kwamba kwa Mwarabu Mwafrika ni mtumwa daima bila kujali wewe mwisilamu au si mwisilamu. Kulikuwa na Thread hapa JF kuhusu yule Msaudi alivyomfanzia Mwafrika hadi kumuua licha ya kuwa Mwislamu mwenzake ... au labda kwa...
Ahsante kwa JohnShao kwa kutukumbusha kuwa Tanganyika na Zanzibar zilikuweko kabla ya 1961 au 1964. In fact kuzaliwa kwa Tanganyika ilikuwa tarehe 27 May 1885 wakati Karl Peters alipoteuliwa Administrator wa kwanza kabisa wa Tanganyika (wakati huo German East Africa). Karl Peters aliharibu na...
Je, Wamasai ndio mfano wa kuigwa?
Picha by Mtanzania, 3/2/11
Hapo yaani wameshajikwatua kwa ajili ya kwenda "out" kumwona daktari!
Watanzania wengine wanavyoona Wamasai kama mfano wa kuigwa na wanapendelea viongozi wa taifa watoke huko au kabila linalofanana-fanana kimaendeleo na hilo...
Katika sehemu nyingi za hii nchi yetu mtu akipata mafanikio anaitwa mchawi au ananyonya damu au amemtoa mhanga mtu wake ili apate mafanikio... In fact katika sehemu nyingi mchawi na mtu mwenye mafanikio ni synonymous. Katika tabia na tamaduni zinazokwamisha maendeleo na kudumisha umaskini, tabia...
Hongera ni kwa JK na pia Mzee Mizengo Pinda kwa kumzuia huyu mbomoaji na mzulumaji wa mali ya raia kinyume cha sheria, kinyume cha katiba na kinyume cha haki. Huyu jamaa tangu mwaka 1995 alipowazulumu wakazi wa Ubungo haki zao baada ya Anna Abdala kumkatalia Mkapa jukumu hilo kwa kuogopa dhambi...
Wananchi walivyompata Oliver Cromwell - baada ya kufa.
About the English Dictator Oliver Cromwell and his execution - after death.
OLIVER CROMWELL (1599-1658), lord protector of England.
One of the most controversial figures in British history, Cromwell led the revolution that...
Thanks Madela wa Madilu kwa bidii yako ya kutafsiri faster angalao sehemu ya makala ya Taaluma ya Uchakachuaji wa kura kwa faida ya wasomaji wengi zaidi. Bidii za namna hii kwa wingi ndiyo zitakazoleta mabadiliko.
Waafrika Tulikuwa Hivi ...
(Credit Safari_ni_Safari, JF Jamii Photos)
Je, Maprofesa wetu wanadanganya wanaposema Wazungu waliturudisha nyuma?
Changia mada please.
Huyu Shimbo nani kamwambia akiwa Jeshini ana ruhusa ya kuingilia mambo ya siasa? Hii inaonyesha kuwa kuna uwezekano mkubwa kwamba ana kadi ya CCM mfukoni, kinyume cha sheria, na kwamba anasubiri tu akistaafu ateuliwe Mkuu wa Mkoa au aende kugombea Ubunge huko kwao. Kama anataka cheo cha kisiasa...
WANAFUNZI WAVAMIA TUME YA VYUO VIKUU
Posted by GLOBAL on September 27, 2010 at 5:30pm
View GLOBAL's News
Baadhi wa wanafunzi wakiwa nje ya jengo hilo.
KUNDI la wanafunzi waliofanya vizuri katika mtihani wa kujiunga na vyuo mbalimbali vya serikali na kupata alama za juu leo wamefurika nje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.