Je, Wamasai ndio mfano wa kuigwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, Wamasai ndio mfano wa kuigwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SuperNgekewa, Jun 4, 2011.

 1. S

  SuperNgekewa Member

  #1
  Jun 4, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je, Wamasai ndio mfano wa kuigwa?

  Picha by Mtanzania, 3/2/11
  Maika 50 ya Uhuru.jpg
  Hapo yaani wameshajikwatua kwa ajili ya kwenda "out" kumwona daktari!


  Watanzania wengine wanavyoona Wamasai kama mfano wa kuigwa na wanapendelea viongozi wa taifa watoke huko au kabila linalofanana-fanana kimaendeleo na hilo. Hebu fikiria, kama tungetawaliwa na Wamasai badala ya Waingereza leo tungekuwa tunavaaje, tunaishi makazi ya namna gani, tunakula na kunywa nini, tunakwenda haja wapi, tunasafiri vipi, n.k.?
   
 2. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Siungi mkono hoja maana imejaa udhalilishaji wa utamaduni wa watu. Leo hii wa-Scotish kwenye sherehe zao mbalimbali wanaume huvaa sketi - hapo unasemaje?
  Hoja yako ingekuwa na msingi kama ungeizungumzia hiyo dispensari ya mbavu za mbwa. Ni jukumu la serikali kupeleka huduma za jamii (bora) popote walipo wananchi wake. Sasa hapo ni nini?
   
 3. C

  CHESEA INGINE Senior Member

  #3
  Jun 4, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Maisha yangekuwa rahisi sana!
   
Loading...