Mugabe awalipua Walokole

SuperNgekewa

Member
May 10, 2010
49
3
Rais Awalipua Walokole:
Awataja Manabii wa Uwongo; Asema wanachangia umaskini wa Taifa, hawana huruma na raia. Ashangaa wingi wao kuzidi manabii wa kwenye Biblia.
 
Attachments

  • Rais Awalipua Walokole - Pt 1.pdf
    491.2 KB · Views: 1,021
  • Rais Awalipua Walokole Pt 2.pdf
    716.7 KB · Views: 456
Sio tu Zimbabwe hata hapa Tanzania walokole wamezidi kila siku wanakuja manabii tena mtu anajiita Mtume,na Nabii yani vyeo vyote vyake ukiuliza Unabii na Utume kampa nani hatujui.........wanazidi kuwanyonya wananchi bila huruma nyama hao
 
Utapeli ni wizi na hivyo ni kinyume cha haki na sheria. Hao wanaofanya biashara ya kumwuza Mungu wanauza bidhaa ambayo hawakununua, isiyo na idadi (stock) inayopungua, isiyo na expire date na ambayo hutajua ubora wake (guarantee) mpake ufe. Kwanza wanakuambia maneno kadha wa kadha waliyookoteza hapa na pale, halafu wanakuambia hilo ndilo neno la Mungu. Wakiona umemeza ndoana hiyo hatua ya pili ni kukuambia mpe Mungu na wewe kutokufikiri vizuri unampa yeye. Ni kama wacheza kamari wanavyo jipanga kando kando ya barabara wakidai kuwa lengo lao ni kukupa wewe mpita njia kitita cha mihela. Kumbe lengo lao halisi ni kukutoa hela zako.
 
Mzee wa upako ye anajisifia ana magari 5 ya kutembelea tena yote ya mzungu km vogue, benz, bmw etc anadai ukingoza kanisa lililonona na mchungaji lzm anone. Nilicheka saaana
 
Kinachokera zaidi hasa hawa wanaohubiri kupitia tv mbalimbali, kabla hata mahubiri hayajaanza unakutana na matangazo chini ya tv,M-pesa,Tigo pesa mara CRDB,NMB au NBC..sasa unajiuliza hayo ndio mahubiri au harambee ya kuchangia matumbo ya familia zao.?
 
Jamani bila michango unadhani hayo matangazo ya kwenye tv utayaona?

Sent from my GT-N7100 using Tapatalk 2
 
Jamani bila michango unadhani hayo matangazo ya kwenye tv utayaona?

Sent from my GT-N7100 using Tapatalk 2

Mbona povu linakutoka ushahidi upo Dini imegeuzwa kichaka cha wezi ona maisha ya hao wanojiita manabii utashangaa.Wanamiliki magari na majumba ya kifahari na mfano hapa Mbeya wachungaji wa TAG wanashindana kutembelea magari ya kifahari.
 
Muandika thread ungefunguka kuwa ni Rais wa ZIMBABWE to fauti na hapa inaonekana ni RaIsi wa TANZANIA.

GAZETI LA KIU 23 NOVEMBER

Na Mitaandao ya Habari
Kwa mara ya kwanza Rais Robert
Mugabe wa Zimbabwe amewajia
juu hadharani wahubiri wa kilokole
wa nchi hiyo wanaojiita 'Manabii'
na kuwataka Wazimbabwe kuwa
macho nao kwani ni Manabii wa
uongo!
Akizungumza katika mazishi
ya shangazi wa mkewe, Rais
Mugabe alisema kuwa baadhi ya
manabii hao wa uongo wamekuwa
wakiwadanganya waumini wao
kuwa wana uwezo wa kutenda
miujiza mbalimbali kumberni
usanii mtupu wenye lengo la
kuwaibia na kuwasababishia
umasikini wananchi.
Mazishi hayo ya Mavis Mugadza
(Shangazi wa Grace Mugabe)
yalifanyika Jumapili ya wiki
iliyopita katika kanisa la
Holy Cross la Chikomba na
kuhudhuriwa na watu wengi
wakiwemo mawaziri wa serikali.
Mugabe alisema "Wahubiri hawa
wanajitia wanaoteshwa na Mungu
mambo yanayotokea baadae
kumbe ni uongo mtupu."
Rais Mugabe ambaye ni
mkristo wa madhehebu ya
Katoliki aliendelea kuwaponda
watumishi hao wa Mungu kwa
kutumia lugha kuu za nchi hiyo
za kizimbabwe na kiingereza
na kusema, "Wachache sana
ndio wakweli ambao wamepewa
kipawa cha maono na Mun~,
lakini na hawaendekezi katika
kuhubiri miujiza kila
kukicha. Wengi tulio nao
hivi sasa ni matapeli tu,
utakuta kanisa moja
eti mume na mke wote
ni manabiil Ni kweli
hiyo?" Aliuliza Rais
Mugabe na kushangaa •
kwamba Zimbabwe imejaa
watumishi wa Mungu
wanaojiita manabii •
kushinda hata idadi ya
manabii waliotajwa katika
Biblia.
"Hivi sasa manabii
hawa wa uongo wapo
kila kona ya Zimbabwe.
Kama kweli ni manabii
wa Mun~ watueleze
basi asih ya laana hizi
zinazoisumbuanchi yetu.
 
eeheeeehheeeee maisha magumu ufisadi kotekote ka chach kuna wajinga wasujua kusoma Biblia wanasubiri wasomewe poa tu acha watu watajirike coz hiyo nayo akili ya kuishi bana sadaka za kupanda na kuvuna zipo ukipanda buku unavuna buku 2 kama hujavuna unaambiwa shamba liiingia viwa vijeshi wa kiroho teheteeeee
 
ukisema mpinga kristo unakosea yeye ni mpinga wajasiria mali wadogo waliowekeza ktk injili!!!!!!!!!!!!!! hapo ndo sawa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom