Matokeo ya Kura za Urais Haya Hapa

Haya ili kerere ziishe,
Kikwete=5,921,447.41 44.56%
Sraa=
5,907,913.52 44.45%
kwa hiyo mshindi wetu ni Slaa no Sraa
kwa hiyo aliyestahili kuwa rahis ni Sraa lakini Rais ni Jakaya Mrisho Kikwete


 
Haya ili kerere ziishe,
Kikwete=5,921,447.41 44.56%
Sraa=
5,907,913.52 44.45%
kwa hiyo mshindi wetu ni Slaa no Sraa
kwa hiyo aliyestahili kuwa rahis ni Sraa lakini Rais ni Jakaya Mrisho KikweteHivi kwa takwimu zako hizo mshindi ni nani?
 
Mbona haya matokeo yashaletwa hapa several times au yametofautiana vipi na yale yaliyotangulia. Maana hata katika matokeo haya sioni kura za Zanzibar. Sasa how can you draw a conclusion based on incomplete data?
 
Matokeo ya Kura za Urais Haya Hapa.

Hadi leo Tume ya Uchaguzi haijaweka matokeo ya kura za Urais kwenye website yao. Inachokiogopa inakijua yenyewe.

View attachment 17460

Mkuu mambo gani haya mnatuletea! We uliona wapi idadi ya kura ikawa na decimal places? kwa mfano; eti DSM Slaa alipata kura 580,544.25 Kama mnataka kuchakachua tafuteni IT wazuri sio hizi takwimu za kitoto.
 
Mkuu mambo gani haya mnatuletea! We uliona wapi idadi ya kura ikawa na decimal places? kwa mfano; eti DSM Slaa alipata kura 580,544.25 Kama mnataka kuchakachua tafuteni IT wazuri sio hizi takwimu za kitoto.

Ni kweli apo sasa mambo ya shule na ni shule ya hesabu,lini uliona mtu robo?kwa sababu kura inamuwakilisha mtu.
 
Jana niliposema kwanza nina bahati sana kutokusoma udsm, wana udsm wengi sana wakaja juu na kusema kwanza ni UDSM na wala siyo udsm. Hii inaonyesha wazi kwamba niliyotasema nilikuwa sawa kabisa. Wasomi wa udsm ni wajinga kiasi cha kutokuona yaliyo nusu wazi. Nenda kaangalie kwenye doctionary, (najua kwamba wengi wenu hamjui maana yake) the phrase is "malicious intent". Kisha labda,...na narudia, labda kiduuuchu mtaelewa udsm.

Emotinal? very; reactionary? absolutely; rational? zero; intelligent? I would rather shut up, coz the proof is in the pudding.....;

everything written in here, is fact to some, no matter what.
 
Matokeo ya Kura za Urais Haya Hapa.

Hadi leo Tume ya Uchaguzi haijaweka matokeo ya kura za Urais kwenye website yao. Inachokiogopa inakijua yenyewe.

View attachment 17460

Hivi ni vitu gani mnatuletea hapa Bwana, kama huna cha kupost kaa kimya Bwana!!!! Hivi uliwahi kuona wapi idadi ya kura zilizopigwa au kupata ikawa na poinT? Unaweza kupigiwa kura kwa mfano 20.75.

Acha uhuni Bwana!!!!!

Tiba
 
ivi mjadala wa udsm na UDSM unatuhusu nini hapa nani asiyejua kuwa UDSM iko juu ya vyuo vyote kwanza kihistoria na kuwa na vitendea kazi au unataka kuifananisha UDSM na hiyo UDOM yako na vyuo vingine vinavyozuka kama uyoga, ambavyo hata library havina na hata kama inavyo hakuna vitabu professor 2 au 3 DR. ni kama professor wakati UDSM DR ni kitu cha kawaida, tupngelee maslahi ya taifa hapa usiturudshe kwenye vyuo, kwanza nakushangaa au unaongelea vyuo vyako vya uganda , lete hoja kamili decimal points ni data errors ni ku validate na kuangalia kama hiyo data ni reliable.
 
Matokeo ya Kura za Urais Haya Hapa.

Hadi leo Tume ya Uchaguzi haijaweka matokeo ya kura za Urais kwenye website yao. Inachokiogopa inakijua yenyewe.

View attachment 17460

inafanya kuvuta subira adi Dr atoe matoke aliyonayo,maybe ndo mana hata Dr nae anavuta subira nec watunduke yao ubaoni..kwi kwi nahisi hao wahusika wa necnow hawapo nchini wapo somehere vacation mana kazi yao ilikua kubwaaa
 
I can't say anything about UDOM. Never heard of it, I don't know it and don't know even one person who went there.

For the curious ones, I went to pretoria, the Edinburgh. I doesn't make me a better person than the rest, neither does it lessen the fact that udsm produces nothing but short sighted, bigoted, tribal numpties.
 
Back
Top Bottom