Je, Maprofesa wetu wanadanganya wanaposema Wazungu waliturudisha nyuma? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, Maprofesa wetu wanadanganya wanaposema Wazungu waliturudisha nyuma?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SuperNgekewa, Oct 14, 2010.

 1. S

  SuperNgekewa Member

  #1
  Oct 14, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waafrika Tulikuwa Hivi ...
  (Credit Safari_ni_Safari, JF Jamii Photos)
  Waafrika Tulikuwaga Hivi 1.JPG

  Je, Maprofesa wetu wanadanganya wanaposema Wazungu waliturudisha nyuma?

  Changia mada please.
   

  Attached Files:

 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mkuu Super Ngekewa,

  Natanguliza heshima kwako!
  Nina shaka hapa unachanganya Sayansi ya Siasa na Historia, ambapo ni vitu viwili tofauti!
  Angalia zaidi uletaji wako wa changamoto yako hii!
   
 3. S

  SuperNgekewa Member

  #3
  Oct 18, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani PakaJimmy unataka kutuambia kuwa kazi ya Historia ni kusema ukweli lakini ya Sayansi ya Siasa ni kudanganya?
   
 4. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #4
  Oct 18, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,590
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  Kama alivyosema PakaJ.

  Ebu weka maada yako ieleweke zaidi,

  1. Unaposema maprofesa akina nani? wako wengi sana, cite hata just one book/article to strengthen your argument
  2.Umeuliza swali katika title yako, mtu kujibu yes au no, au whetever ni ngumu , kwani hujaeleweka unazungumzia katika angle gani,
  3. Ni maprofessa tu wanaoweza kusema ulichoandika? if not them title may change as well!
  4. what motive led you to start this particular topic?
   
Loading...