Search results

  1. T

    Kuna Uwezekano Sitapiga Kura

    Wakuu, Kama hali ya mambo itaendelea kuwa mbaya zaidi sitegemei kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu. Pamoja na hali ya mambo kuendelea kuwa mbaya, Jambo pekee ambalo litanishawishi nipige kura ni iwapo tu wahusika halisi wa KAGODA watafikishwa mahakamani kabla ya mwaka huu wa fedha...
  2. T

    Tutafakari Wazo Hili

    Kwa miaka mingi sasa nimekuwa nikiwaza sana ni kwa jinsi gani tunaweza kuliunganisha bara letu la Afrika kwa gharama nafuu kabisa ukilinganisha na faida na kuweza kuwa na fursa ya kuweza kuona na kujua kila siku nini kinafanyika katika nchi zetu. Tunaweza kweli kuungana kisiasa lakini bila ya...
  3. T

    Ndoto Kuhusu Afrika

    Kwa miaka mingi sasa nimekuwa nikiwaza sana ni kwa jinsi gani tunaweza kuliunganisha bara letu la Afrika kwa gharama nafuu kabisa na kuweza kuwa na fursa ya kuweza kuona na kujua kila siku nini kinafanyika katika nchi zetu. Tunakuweza kweli kuungana kisiasa lakini bila ya kuwa na Televisheni...
  4. T

    Tufanye Nini Ili Serikali Itekeleze Majukumu Yake Ipasavyo?

    Wakuu, Habari za leo? Katika HOJA mbalimbali hapa tumejadili kwa kina kuhusu matatizo mbalimbali yanayoikabili nchi yetu bila kusahau ufisadi uliovuka mipaka. Kama ni kweli kuwa CCM itaendelea kushinda katika uchaguzi wa mwaka huu na kuunda Serikali, Nini hasa Wananchi wa nchi hii...
  5. T

    Ndugu Rais

    Kama ambavyo imefanyika kwa ugonjwa wa Malaria siku ya Jumamosi (13/02/2010), tunaomba na kupendekeza pia matatizo haya makubwa katika taifa letu nayo yatanganzwe rasmi kama majanga ya kitaifa:- 1. Uduni wa ufahamu wa Wakulima wetu katika matumizi ya mbegu bora, mbolea na ukulima wa kisasa...
  6. T

    Tanzania online parliament

    Wakuu, Kwa kuwa Wabunge wetu (hasa wa CCM) wametuangusha sana kwenye masuala mengi ya kitaifa naomba tuanzishe hilo Bunge hapa. Mods na wajuvi wengine watusaidie kwa namna gani bora tunaweza kuliendesha na kuleta ufanisi wa hali ya juu na kuwa na impact kubwa katika nchi yetu. Kama wazo...
  7. T

    Mishahara Hii Balaa Tupu

    Wakuu, Kweli sisi nchi zisizoendelea. Yaani mshahara wa mwezi mmoja wa Drogba unaweza kulipa Maprofesa zaidi ya 320!!!! kila mwezi hapa nchini kwa wastani wa shilingi milioni 3.0 kwa kila Profesa kwa mwezi.
  8. T

    JK na Mwaka 2009

    Wakuu, Naomba mnisaidie kujua ni maamuzi yapi mazito ambayo Rais ameyafanya mwaka uliopita (2009) ambayo tunaweza kujivunia kama taifa.
  9. T

    Kipi muhimu: Madawati na vitabu au vitambulisho

    Wakuu, Natumaini wote tumesikia kuwa Serikali itatumia jumla ya shilingi bilioni 200 kwa ajili ya Vitambulisho. Haya yanafanyika wakati karibu watoto milioni 4 wa shule zetu za msingi wanakaa chini na mbaya zaidi hali ya vitabu katika shule zetu zote ni ya kukatisha tamaa. Sekondari za kata...
  10. T

    Yale yale na kama kawaida yetu

    Wakuu, Matokeo ya mitihani kidato cha nne (2009) yametoka juzi na kama kawaida yetu aibu ya kufeli vibaya vijana wetu imeendelea kutuandama. Hebu fikirieni kati ya Wanafunzi zaidi ya 339,000 waliofanya mtihani zaidi ya asilimia 87 wamepata division 4 na Division Zero. Aibu tupu.
  11. T

    Rais JMK na Watanzania

    Wakuu, Naamini moja ya njia nzuri kwa Rais aliyeko madarakani katika kuwasiliana na watu wake ni kuwahutubia kila mwezi (ikiwezekana hata kila wiki) kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na nini Serikali inafanya katika kuwaletea maendeleo watu wake na taifa kwa ujumla. Hapa kwetu naona huu...
  12. T

    Gharama ya nyumba moja ya BoT, yatosheleza madawati 23,000!!

    Naomba kumuuliza Mh. Waziri Mkuu aibu hii ya shule zetu za msingi kukosa madawati na watoto wetu kusoma wakiwa wamekaa chini itakwisha lini? Katika gazeti la Tanzania Daima la leo tarehe 01/02/2010 ukurasa wa 8 kuna habari isemayo "UKEREWE YAHITAJI MIL. 713/= KUTENGENEZA MADAWATI" Taarifa...
  13. T

    Kama Ningekuwa JK

    Wakuu, Kama ningekuwa JK pamoja na mambo mengine ningefanya yafuatayo: 1. Ningejenga Multi-purpose Science Laboratories kila wilaya. 2. Ningeongea na vituo vyote vya televisheni hapa nchini ili kila siku kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa 6 usiku, kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu na...
  14. T

    Ukipewa Nini Utachagua

    Wakuu, Ukipewa Kati ya kilomita Moja ya Barabara ya Lami na Computer 1,000 mpya aina ya Dell au HP nini utakacho chagua na kuchukua?
  15. T

    Nashauri Prof Baregu aanzishe Baregu Foundation for Peace and Development (BFPD)

    Wakuu, Kutokana na ujuzi alionao na umuhimu wake katika taifa letu, tumshauri Profesa Baregu aanzishe taasisi ya BAREGU FOUNDATION FOR PEACE AND DEVELOPMENT (BFPD). Naamini wengi tutamuunga mkono na hasa vyombo vya habari na wanafunzi wa elimu ya juu. Moja ya shughuli kuu za taasisi hii iwe ni...
Back
Top Bottom