Ukipewa Nini Utachagua

Ukipewa Nini Utachagua

TANURU

Senior Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
162
Reaction score
9
Wakuu,

Ukipewa Kati ya kilomita Moja ya Barabara ya Lami na Computer 1,000 mpya aina ya Dell au HP nini utakacho chagua na kuchukua?
 
Wakuu,

Ukipewa Kati ya kilomita Moja ya Barabara ya Lami na Computer 1,000 mpya aina ya Dell au HP nini utakacho chagua na kuchukua?

Hakuna jibu la direct hapa, unless kama hii ni nahau.
Jibu inategemeana na context inayozunguka tukio hilo.
Kama ni kijijini, kama kule kwangu CHOLE-SAMVULA, sihitaji tarakilishi, wala kikokotozi...chanini wakati sina nishati ya umeme, ni nyaya tu zimepita huku zinaenda darisalama?
Kwa huku nitachagua Barabara!lol!
 
Back
Top Bottom