Search results

  1. Nguchiro

    Msaada wa Window 8.1

    mko poa wadau,natumia asus X453M ila nilipoinunua waliniwekea Window 7 ila laptop yenyewe nilipoinunua nikapewa na cd yenye drive za Window 8.1 nna shida ya window 8.1 wakuu, naombeni msaada ili niipige chini hii window tafadhali coz Window ninayoitumia inazingua
  2. Nguchiro

    Nashindwa kucheza game kwenye laptop

    Wadau vipi,its my hope mko poa. Nahitaji ushauri kwani natumia laptop ya ASUS X453M ina Window 7 Professional ila nimedownload several pc games za kunikeep busy nikiwa idle ambazo zinaweza chezwa katika Window 7 ila kwangu naweza install game husika ila nikiifungua ili niicheze haifunguki, kuna...
  3. Nguchiro

    Rushwa katika kuomba ajira

    Members juzi jumatano nimeomba nafasi ya kazi moja iliyotangazwa humu humu katika hii forum iliyokuwa inatutaka kutuma CV na passport size picture funny enough leo asubuhi mtu from the same company ananitumia message akidai nimforwadie 30,000/= katika tigo pesa au m-pesa leo ili anitumie maswali...
  4. Nguchiro

    Ea fifa 2004

    Wadau mwenye game hiyo niliyotaja hapo juu naomba anisaidie tafadhali yangu ime-corrupt haichezi
  5. Nguchiro

    mlango wa dvd hausomi

    guys natumia laptop aina ya Toshiba Satelite but all of a sudden mlango wa dvd kila nikiweka dvd inagoma haisomi, naombeni msaada wa mawazo guys im stuck kwa kweli :wacko:
  6. Nguchiro

    web Camera

    my fellow great thinkers, natumia laptop aina ya Toshiba juzi kati kuna mtu aliiomba kwa masuala ya kazi si unajua Serikalini bwana kuna baadhi ya maeneo ya kazi kama yetu resource kama computer ni bidhaa adimu kanirudishia nikataka kutumia Web Camera inagoma, picha haipigi, hata nikitaka...
  7. Nguchiro

    Kuchakachua Vodafone Mobile Broadband modem model k3570-z

    Guys naomba msaada, nna modem yangu nilikua naitumia ya voda kuna muda mrefu kdg ikaanza kunigomea, ukiichomeka hairespond, ikirespond salio huwezi kuweka yani balaa na kasheshe juu niko korogwe kwa sasa ila ukiwapigia wanakuambia uende Tanga mjini coz hawana voda shop wilayani nimeona...
  8. Nguchiro

    Waraka wa utumishi wa umma

    WanaJF wenzangu naomba mnijuze nami nipate ufahamu, nataka nipate nakala ya WARAKA WA UTUMISHI WA UMMA latest version coz DHRO wetu anaubania na anatunyima haki zetu za msingi mfano kujiendeleza kielimu nk
  9. Nguchiro

    Msaada wa link

    WanaJF wenzangu naomba mnijuze nami nipate ufahamu, nataka nipate nakala ya WARAKA WA UTUMISHI WA UMMA latest version coz DHRO wetu anaubania na anatunyima haki zetu za msingi mfano kujiendeleza kielimu nk
  10. Nguchiro

    Tugawane umaskini

    WanaJF wenzangu kuna ule msemo wa "Kizuri kula na nduguyo"kuna site nilipewa kwa wale wenzangu na mie tunaweza kutafuta namna ya kujiendeleza kielimu, kupata funds kwa ajili ya project na NGOs nk si vibaya tukaitumia as you all know kila mtu ana bahati yake WWW.ADVANCE-AFRICA.COM,wish u luck
  11. Nguchiro

    Tigo caller tones

    Jamani wanaJF wenzangu mi ni mmoja wa wadau wa mtandao wa tigo ambaye nakerwa na utaratibu wa kampuni hii ya mawasiliano kunikata Tsh 30 kila siku kwa mlio unaosikika wakati mtu anakupigia simu (caller tone) nataka kujitoa nafanyaje?
  12. Nguchiro

    Urithi

    Hivi jamani kupewa urithi wa mzazi au ndugu yako ni suala la lazima au hiari?
  13. Nguchiro

    SUA scholars mpo?

    Jamani tulipokuwa chuo tulikuwa tight hata mtaani pia?show yourselves up guys
  14. Nguchiro

    Bodi ya mikopo

    As great thinkers naomba tujadili ubora wa hiki chombo katika utekelezaji wake @kutoa taarifa kwa wadau kuhusu maombi na ugawaji wa mikopo @timeliness katika kutoa mikopo wakati inapotakiwa @customer service ya wafanyakazi @coordination yake na vyuo nk, nawasilisha
  15. Nguchiro

    Mbegu za kiume?

    Hivi hizi mbegu zinazalishwa kwa kula vyakula gani?
  16. Nguchiro

    Scholaship?

    Wana JF wenzangu naomba mchango wenu wa mawazo na msaada kwa manufaa ya wengi wenye mpango wa kujiendeleza kielimu, naomba kwa mwenye kufahamu namna mtu anaweza kuomba scholarship na kupata anifahamishe tafadhali,nawasilisha
  17. Nguchiro

    CV

    Jamani nna swali dogo la ufahamu kwa manufaa ya wengi tunaotafuta ajira pindi zinapotoka,hivi uandishi wa CV unatakiwa uwe na vipengele gani vya msingi?maana naamini wengi tunaandika CV ila kiuhalisia hazikidhi na wakati mwingine hata hatufikiriwi kuitwa katika usaili/interview coz naambiwa CV...
  18. Nguchiro

    Pspf

    Wanajamii kuna best yng mmoja kaniambia PSPF walitangaza nafasi za kazi last week,mwenye details atusaidie wanajamii wengine na hiyo update tafadhali
Back
Top Bottom