Kuchakachua Vodafone Mobile Broadband modem model k3570-z

Nguchiro

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
364
31
Guys naomba msaada, nna modem yangu nilikua naitumia ya voda kuna muda mrefu kdg ikaanza kunigomea, ukiichomeka hairespond, ikirespond salio huwezi kuweka yani balaa na kasheshe juu niko korogwe kwa sasa ila ukiwapigia wanakuambia uende Tanga mjini coz hawana voda shop wilayani nimeona niichakachue tu maisha yaende,pliz
 
Download 'Joinair' application (Google), Baada ya hapo unaweza kubadili line na kuunga kwa internet kupitia hiyo application ila unatakiwa kufunga kwanza program yake ikiwa itafunguka baada ya kuchomeka modem
 
Back
Top Bottom