Nguchiro
JF-Expert Member
- Nov 23, 2009
- 364
- 31
Jamani nna swali dogo la ufahamu kwa manufaa ya wengi tunaotafuta ajira pindi zinapotoka,hivi uandishi wa CV unatakiwa uwe na vipengele gani vya msingi?maana naamini wengi tunaandika CV ila kiuhalisia hazikidhi na wakati mwingine hata hatufikiriwi kuitwa katika usaili/interview coz naambiwa CV ndo interview ya kwanza, pia wengi tunakuwa na tailor made CVs ambazo tunacopy na kupaste requirement za kazi husika ili walau tufikiriwe kuitwa, nawasilisha