mlango wa dvd hausomi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mlango wa dvd hausomi

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Nguchiro, Jul 3, 2012.

 1. Nguchiro

  Nguchiro JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 365
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  guys natumia laptop aina ya Toshiba Satelite but all of a sudden mlango wa dvd kila nikiweka dvd inagoma haisomi, naombeni msaada wa mawazo guys im stuck kwa kweli :wacko:
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  kama una vile vipamba vya kujichokolea masikioni uchafu jaribu kuweka spirit kidogo kisha safisha (lens) ya huo

  mlango wa toshiba Satelite kisha ngojea kama dakika 5 kisha washa laptop yako weka CD au DVD ikisoma

  umefanikiwa hauku soma jaribu njia nyingine hii washa laptop yako kisah bonyeza F2 kabla hajafunguka hiyo laptop

  yako kisha kule kwenye Bios Settings kwenye boot weka Fist Boot isome CD ya pili isome HDD ya tatu i disable Flopy

  kisa bonyeza F10 kisha ubonyeze (Enter) itasoma hiyo DVD au CD Room drive isiposoa ujuwe huo mlango umekufa tafuta mlango mwengine.   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  pia unaweza kuifungua hiyo cd rom yako yote(yaani iachanishe kabisa cd rom na laptop kisha irudushie) inaweza ikasoma kama tatizo lilikuwa ni bad connection
   
 4. R

  Refa Member

  #4
  Aug 2, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mimi laptop yangu HP 1000 mlango wa DVD uligoma kusoma DVD baada ya mimi kujaribu kuchoma DVD, sasa unasoma CD tu. Nisaidieni.Nifanyeje wandugu.
   
 5. cerengeti

  cerengeti JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,165
  Trophy Points: 280
  dvd yako imekufa, nina dvd used nzuri nitafute. 0767102102, email: cerengeti@gmail.com
   
 6. cerengeti

  cerengeti JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,165
  Trophy Points: 280
  dvd yako inakaribia kufa, nina dvd used nzuri nitafute. 0767102102, email: cerengeti@gmail.com
   
Loading...