Scholaship?

Nguchiro

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
364
31
Wana JF wenzangu naomba mchango wenu wa mawazo na msaada kwa manufaa ya wengi wenye mpango wa kujiendeleza kielimu, naomba kwa mwenye kufahamu namna mtu anaweza kuomba scholarship na kupata anifahamishe tafadhali,nawasilisha
 
Hata mimi nahitaji sana nijue hzi mambo.ingawa ukigoogle unapata bt mi huwa sielewi na wanatoa mostly kwa Phd.
 
Asanteni sana wadau mana pia nilikua nahitaji sana huu mpango,kwa kweli naenjoy sana hapa Jf na shukrani kwenu nyote mnaoenndelea kutoa msaada kwa kile mnachokijua,be blessed all.
 
Nawashukuru sana wadau kwa msaada wa mawazo, ngoja tufanyie kazi mawazo mliyotupa,God bless u
 
Hivi wanaJF wenzangu naomba mnijuze zaidi kuna baadhi ya balozi kama ubelgiji,uholanzi nk kwa hapa Tz nasikia zinasaidia kusomesha graduates, naomba kujua huwa muda wa maombi unakuwa lini na wanataka uwe na sifa zipi,ntashukuru kwa mawazo mtakayonipa,asanteni
 
[MAKULILO]Fungua link hii http://www.mwananchi.co.tz/magazines/33-maarifa/3780-hatua-za-kuomba-nafasi-za-masomo-ughaibuni.html" target="_blank">Hatua za kuomba nafasi za masomo ughaibuni</a> utaweza kusoma interview niliyofanya na Mwananchi kuhusu ni hatua zipi mtu azipitie kuweza kupata scholarships. Na pia unaweza kuniandikia hapa <a href="mailto:makulilo@makulilofoundation.org">makulilo@makulilofoundation.org</a> ukiwa na details za grades, program inayofikiria nikupe ushauri ufanyaje Unaweza pia kupitia sites zangu, just google MAKULILO utasoma
MAKULILO
California

thank you so much for the advice ntakutafuta
 
Back
Top Bottom