Tugawane umaskini

Nguchiro

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
364
31
WanaJF wenzangu kuna ule msemo wa "Kizuri kula na nduguyo"kuna site nilipewa kwa wale wenzangu na mie tunaweza kutafuta namna ya kujiendeleza kielimu, kupata funds kwa ajili ya project na NGOs nk si vibaya tukaitumia as you all know kila mtu ana bahati yake WWW.ADVANCE-AFRICA.COM,wish u luck
 
Kujiendeleza kvp?ebu 2fafanulie,c wengne wavuvi,uki2andkia v2 nusu nusu ha2lewi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom