Tigo caller tones | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tigo caller tones

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nguchiro, Aug 7, 2011.

 1. Nguchiro

  Nguchiro JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 365
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jamani wanaJF wenzangu mi ni mmoja wa wadau wa mtandao wa tigo ambaye nakerwa na utaratibu wa kampuni hii ya mawasiliano kunikata Tsh 30 kila siku kwa mlio unaosikika wakati mtu anakupigia simu (caller tone) nataka kujitoa nafanyaje?
   
 2. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,686
  Trophy Points: 280
  tigo wassenge sana hata ukijitoa wataendelea kukukata tu
   
 3. Nguchiro

  Nguchiro JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 365
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hawa jamaa wanalazimisha kupata hela kwa kufanya makato ya ajabuajabu kwa wateja,f**** lazima kuna suluhu na bado nipo naitafuta kama niliyoipata ya kutuma msg bure kwa kubadili centre namba yao,sasa naona dawa iwe hiyo ili nao wajue kwamba kuibiwa kunauma
   
Loading...