SUA scholars mpo?

Nguchiro

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
364
31
Jamani tulipokuwa chuo tulikuwa tight hata mtaani pia?show yourselves up guys
 
Duh!wakulima na maafisa mifugo hawawezi kujitokeza kwa kuwa wengi wao wapo vijijini na hawana access ya internet,poleni sana wasomi wa sua!!
 
Duh!wakulima na maafisa mifugo hawawezi kujitokeza kwa kuwa wengi wao wapo vijijini na hawana access ya internet,poleni sana wasomi wa sua!!
<br />

Niliyatarajia yote hayo wala siwashangai, kuna watu wengine hamjafuta ujinga,its realy annoying
 
Huwezi kuijua mkuu ukitaka kufahamu njoo na wewe usome usishangae ni uchumi tu wa kawaida
 
Ndo sisi mkuu na tupo wachache,karibu Mazimbu karibu Main Campus at the bottom of Uluguru mts
 
Mbona Arts ipo ila haina tofauti na Science coz course nyingi za hiyo degree wanaopt kutoka hukohuko science, usiogope kama unapumzi karibu miaka 3/4/5 si mingi its just like a week if you get used to it, ha ha ha ha ha ha ha ha
 
masomo ya mashairi na sua wap na wap mkuu!shule yenu tyt sana asee,nlitembelea hapo cku 1,nikaona jnc vijana walivo busy,kwa kwel kuna utofaut na wale jiran zenu wa mvomero!
 
Duh!wakulima na maafisa mifugo hawawezi kujitokeza kwa kuwa wengi wao wapo vijijini na hawana access ya internet,poleni sana wasomi wa sua!!

Tupo tangu wa enzi hizooooo SUA ilipokuwa ikiitwa Faculty. Siku hizi mtandao mpaka vijijini tunatamba kweli bei za mazao tunaangalia kwenye mtandao hakuna wasiwasi.
 
@Tukutuku; Tupo sana sema sisi ni watu wa field then jioni twarudi ofisini, ukitaka kujua tupo fungua Sokoine university of Agric. Alumin kwenye facebook au sua where brains assemble/sua class 2009 utakuta wengi na mimi ni mmojawapo!
 
Back
Top Bottom