Search results

  1. mangi jr

    ACM limit exceeded

    Habari za muda wadau! Mimi simu yangu ina tatzo moja. Kila nikihitaji kupiga simu inaniambia Acm limit exceeded. Naweza kufanya miamala au kupokea simu lakini siwezi kupiga. Nimejaribu Ku clear data kwenye dialer na contact ila tatizo bado. Mwenye ujuzi anisaidie. Natumia Nokia 1 dual sim yenye...
  2. mangi jr

    Dawa

    Dawa ya Kutopata choo
  3. mangi jr

    Njia nzuri ya Ku root simu zenye android 6

    Wakuu habari za muda? Nahitaji msaada kwa anayejua njia nzuri ya Ku root android 6 with or without PC Nimejaribu kutumia app nyingi lakini sijafanikiwa, kuanzia framaroot, zroot kingoroot kingroot Dr fine na nyingine bila mafanikio! Kwa anayejua njia rahisi ya Ku root anisaifie. Simu...
  4. mangi jr

    Kungwi wa kwenye magroup ya WhatsApp, kuweni makini nao

    Habari ya siku wadau wa MMU, Natumai mpo poa mnaendeleza vyema gurudumu la maendeleo. Kuna tabia moja imezuka ambayo mwanzoni nilidhani ni utani kumbe kweli hii kitu ipo. kwa mabinti walio wengi kujiunga na baadhi ya magroup ya WhatsApp ambayo huwa yameundwa kwa lengo la kufundishana masuala...
  5. mangi jr

    Tabora girls sec school Joining instruction

    Habari za jioni wadau! Naomba mwenye link nayoweza kupata fomu ya kujiunga na shule (joining instruction ) ya Tabora girls kwa form one wa mwaka 2017 Natanguliza shukrani!
  6. mangi jr

    Tatizo la Simu kutoingiza chaji

    Habari za muda wadau? Na tatizo moja Simu yangu imegoma kuingizia chaji kwa njia ya kawaida kwa muda. Niikiweka charger kwenye soketi ya umeme haipeleki lakini nikitumia wire ya USB kuchajia kwenye TV/deki inapeleka bila tatizo. Tatizo linaweza kuwa ni nini? Msaada Tafadhali. Mchana mwema
  7. mangi jr

    PES 2012 for Android

    Habari za kutwa wadau, naomba mwenye game la mpira la pes 2012 anipe link ambayo itaniwezesha kupta hilo game. Link nyingi hazina game lenyewe. Natanguliza shukrani za dhati. Chief-Mkwawa na Mwl.RCT
  8. mangi jr

    Simu kuzama kwenye maji

    Habari za Usiku wadau wa jukwaa hili? Na Tatizo moja kama kichwa cha thread kinavyojieleza. Nimedondosha simu yangu kwenye maji Nokia C1. nimeifungua na kusafisha maji yote ila sijaiwasha! Je Kuna uwezekano wa kupona kweli? maana ilishinda kwenye maji karibu kutwa nzima!
  9. mangi jr

    Naomba kufahamu bei ya Sony Xperia L

    Wadau Naomba kujuzwa bei ya Sony xperia L kwa sasa dukani wanauzaje? Nashukuru sana.
  10. mangi jr

    Nifanyaje Tatizo la simu kushindwa kufungua pattern ?

    Habari za jioni wadau wa jukwaa la tech. Nina tatizo moja, simu yangu aina ya vodafone v875 smartmini imekataa kufungua (unlock) pattern nilizoweka. Tatizo lenyewe limeanza leo. Wamenambia niingize google account. Nimeingiza lakini mpaka muda huu imegoma kufunguka. Mwenye ujuzi anisaidie...
  11. mangi jr

    Usiache kusoma hapa, msaada wanajamvi!

    Naomba kujuzwa maana ya haya maneno kwenye simu Wi_Fi hotspot data synchronising root ahsanteni.
  12. mangi jr

    Application ambayo naweza kuangalia TV stations kwenye smartphone

    Habari za jioni wakuu! Naomba kujuzwa android app ambayo naweza kucheki video (kama ilivyo kwa tune in radio ambayo unasikiliza redio stations nyingi) nahitaji kama ntapata app yenye na sports chanel kama dubai sports na bein sports. AHSANTENI
  13. mangi jr

    Tetesi: Moyes out

    Kuna tetesi zimezagaa kuwa leo kocha wa manchester united david moyes ameachishwa kazi. Taarifa hizi zimezagaa goal.com, talksport espn na skysport mwenye taarifa juu hili atujuze
  14. mangi jr

    You never win again

    Poleni fans wa liverpool hiyo ndo EPL bhana kutoka YOU NEVER WALK ALONE mpaka kufikia YOU NEVER WIN AGAIN! Jumanne njema wadau!
  15. mangi jr

    Niwatake radhi wa MMU

    Tumebakiza saa chache kabla ya kumaliza mwaka! Naomba mniwie radhi kwa post yangu niliyoitoa jana wengi walikereka! Tusameheane tuanze mwaka vizuri.
  16. mangi jr

    Saluti kwenu wana jf

    Hodiii jf Sa sijui nivue viatu au niingie navyo? Saluti kwenu wana jf member mpya hapa!
Back
Top Bottom