Nifanyaje Tatizo la simu kushindwa kufungua pattern ?

Nifanyaje Tatizo la simu kushindwa kufungua pattern ?

mangi jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
291
Reaction score
250
Habari za jioni wadau wa jukwaa la tech. Nina tatizo moja, simu yangu aina ya vodafone v875 smartmini imekataa kufungua (unlock) pattern nilizoweka. Tatizo lenyewe limeanza leo. Wamenambia niingize google account. Nimeingiza lakini mpaka muda huu imegoma kufunguka.

Mwenye ujuzi anisaidie. Ahsanteni sana na jioni njema

Naomba kuwasilisha......
 
Manake umesahau password zako..

Kama hauwez kuzkumbuka hakuna njia nyngne zaid ya hii..

Zma simu yako..
Kisha bonyeza button ya kuwashi bla kuachia kwa sekunde 15,hata kama itaonesha inawaka we endele kuishkilia..

Baada ya hapo yatakuja maelezo,utatumia volume button kuchagua,na option buton kubnyeza uchaguz wako.

Baada ya hapo tafta sehem iloandkwa wipe data au factory reset..
 
Asante wadau ngoja nifanye hvyo ntaleta mrejesho.
 
Bado wakuu haijafaa. Msaada zaidi.
 
Nimeshaweza kureset japo nimepoteza apps zangu kibao kama anti virus & cache cleaner, tunein radio, whatsapp uc browser, sport tv, tubemate, instagram etc lakini simu imefaa. Angalizo kwa wengine pindi unapo reset unatakiwa kutoa simcard na memory card.

Nawashukuru wote kwa michango yenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom