mangi jr JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 291 Reaction score 250 Jan 2, 2017 #1 Habari za jioni wadau! Naomba mwenye link nayoweza kupata fomu ya kujiunga na shule (joining instruction ) ya Tabora girls kwa form one wa mwaka 2017 Natanguliza shukrani!
Habari za jioni wadau! Naomba mwenye link nayoweza kupata fomu ya kujiunga na shule (joining instruction ) ya Tabora girls kwa form one wa mwaka 2017 Natanguliza shukrani!
texaz mc JF-Expert Member Joined Jan 15, 2016 Posts 371 Reaction score 205 Jan 2, 2017 #2 nani kafaulu huko?
mangi jr JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 291 Reaction score 250 Jan 2, 2017 Thread starter #3 texaz mc said: nani kafaulu huko? Click to expand... Kuna mtoto wa uncle amepangiwa huko.