Usiache kusoma hapa, msaada wanajamvi!

Usiache kusoma hapa, msaada wanajamvi!

mangi jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
291
Reaction score
250
Naomba kujuzwa maana ya haya maneno kwenye simu

Wi_Fi hotspot
data synchronising
root

ahsanteni.
 
Kwanza fahamu Wi-Fi maana yake wireless Fidelity hivyo wi-Fi hotspot ni setup utakayoiweka kwe simu yako au Tablet na kuweza ku provid internet kwa mfumo Wa wireless kwa simu zenye wireless zitakazokuwa karibu na wewe.
 
Back
Top Bottom