Search results

  1. kende

    Sumaye kanjanja sana

    Yaani Sumaye anajua kabisa kitachotokea tar 25 Octobar, anajua kabisa UKAWA hawawezi kushinda ndo maana hadi leo hii haijulikani ni chama gani, tar 25 Octoba ataimaliza rasmi kazi yake iliyompeleka UKAWA huku akiwaacha chagadema na vyama vingine vikiugulia maumivu makali ya kushindwa. Kweli...
  2. kende

    Kugegeda mara1 kwa wiki

    Je ni halali unakuwa na mke ndani halafu anakupangia masharti ya kugegeda wakati mahari yote umelipa? Kilasiku oh nimechoka, ukitaka kuforce anabana miguu, yaani hadi upewe mzigo ni kama vile unaanza upya kutongoza, yaani najuuta kuoa. Je huu ni ungwana?
  3. kende

    HAO (Joh Makini) Vs FID Q.COM

    Fid Q na Joh Makini Ni miongoni mwa wasanii bora kupata kutokea bongo kwenye Hip hop, kila mmoja anangoma kali nyingi. Ila binafsi ukiniambia nichague wimbo mmoja tu wa Fid Q ambao niliwahi kuupenda zaidi na haujawahi kunichosha ntakwambia FID Q.COM, na kwa upande wa Joh Makini ni HAO. Nimetoka...
  4. kende

    Nimepambana hadi nimekuwa ishu, kwa machizi ishu, kwa mademu ishu

    Hivi ni mimi tu ninayevutiwa na tuvesi twa Nyandu Tozi? Jamaa naonaga kama hayuko siriaz na mziki, anafanya just for fun, but tuvesi twake huwa tunanibamba kweli.Nyimbo alizofanya na Blue, ile aliyofanya na Young D, na hizi za B.O.B nafurahiaga verse zake zaidi.
  5. kende

    Nahitaji Apple-MacBook Pro

    Wakuu nahitaji hiyo kitu yenye uwezo mzuri wa kufanya kazi za Graphics Design n' Video Editing, ni duka lipi dar naweza kupata kwa bei nafuu either iwe mpya au used yenye hali nzuri? Asante!
  6. kende

    Hongera Diamond kwa kupunguza maadui

    ∆Tunaambiwa kilasiku tujitahidi kupunguza maadui na sio kuwaongeza, Diamond kafanya hivyo mwakahuu, na kilichonifurahisha zaidi kapatana na wale watu wote wenye mchango mkubwa kwenye mafanikio yake ya mziki. Alianza kwa kumaliza tofauti zake na Bob Junior pale alipomualika kwenye 'Zari...
  7. kende

    Sisi tumenyooka wewe je?

  8. kende

    Swali kwa Gwajima: Tuendelee kula malimao?

    "Asiyemtaka Lowassa akale malimao!" Hicho ndicho alichosema Gwajima alipokuwa kwenye mkutano wa Lowasa Arusha. Nadhani sasa imefikia zamu yake kuanza kufakamia malimao na ndimu!
  9. kende

    Mirror anaimba vizuri lakini mbona hang'ai?

    Nimejaribu kumfatilia huyu dogo yuko vizuri anajua kuimba, nyimbo zake nzuri, sasa nashangaa inakuwaje hang'ai wakati yuko chini ya menejimenti ya bingwa wa kung'arisha nyota za watu 'Wema Sepetu', au ubingwa wake wa kung'arisha nyota unawork kwa baadhi ya watu tu?
  10. kende

    Tanzania ndo nchi inayoongoza duniani kwa washamba wengi wa social networks

    Yaani kuna washamba wengi sana, angalia watu wanavyoshinda instagram kutukanana na kuanzisha team, niliona aibu siku msanii Davido amepost bendera ya Tanzania kwenye IG page yake, yaani kilichofuata hapo ni comments za watanzania wakishambuliana kwa matusi kwa kiswahili na broken english. Huu...
  11. kende

    Joh Makini ashika namba moja MTV Base

    Hizi timu za kina Diamond na Alikiba zinatufanya tusahau hata wasanii wengine wanaofanya vizuri, mi sikujua kama 'Nusunusu' wa Joh unafanya vizuri hivyo kwenye channel kubwa hadi nilivyotembelea IG page yake, huo wimbo umekamata no1 kwenye chati, vitu vya namna hii ndio tunavitaka, sio kilasiku...
  12. kende

    Dawa ya wazazi wanaobagua wakwe zao

    Dawa ya wazazi aina hii ambao wanabagua sana, yaani mwanaume ukienda kujitambulisha wanakuletea vikwazo kibao ni kutia mimba kwanza binti yao. Unaenda kujitambulisha kipindi mimba kana miezi miwili, kukubalika ni lazima tu maana hakuna namna nyingine tena. Asanteni
  13. kende

    Adam Mchomvu na Fetty, safi sana!

    Wapo wanawachana team kingkibaka na team maex wa Diamond now XXL. Wacheni ujinga nyiee!
  14. kende

    Mtazamo: Hata Kiba akifikia levo za Diamond zitaundwa team za kumshusha

    Heading inajieleza, namaanisha kwa jinsi watanzania tusivyopenda mtanzania mwenzetu atuzidi saana, yaani kama kutuzidi atuzidi kidogo tu, aendelee kuwa wa kawaida. Naamini kabisa kwa tabia hii hata huyu Kiba wanayejifanya wanampenda sana sahivi na 'kuforce' awe juu kilazima ikifikia hatua kawa...
  15. kende

    AY achia Zigo aisee

    Kwa muda mrefu msanii AY hajatoa wimbo mkali levo za Zigo, huu wimbo ni noma aisee, club banger haswaa sichoki kuusikiliza, namshauri awe siriaz kwenye video unaweza kumfikisha mbali, ikiwezekane ajitutumue aende kwa mnyama Godfather, then ajitahidi atoe video kabla haujapotea hewani
  16. kende

    Tunahitaji Diamond Platnumz watano ili...

    Watanzania tumeanza kutembea kifua mbele kwamba mziki wetu umekua hadi tunaanza kujiona tunaenda levo za wanigeria wakati si kweli. Kwa mtazamo wangu naona bado sana, coz hadi sasa hivi msanii ambaye anatupa kiburi cha kubishana na nchi nyingine e.g majirani zetu Kenya ni Diamond tu, huyo ndio...
  17. kende

    Nisumbue sumbue usinikubali haraka

    Inashangaza kuna wanawake wa zama hizi za digitale bado wana swaga hizi za kumzungusha mwanaume kwa mda mrefu before hajamkubalia, mnataka kuvumbua nini haswa? Unadhani ukimzungusha mwanaume kwa miezi 6 ndo utaonekana wa maana sana? Jibu ni NO, wanaume wengi miaka hii tuko bize kutafuta pesa...
  18. kende

    Hivi kwanini Wakenya hawatupendi Watanzania?

    Nimeshuhudia mara nyingi battle ya maneno kati ya watanzania na wakenya kwenye mitandao ya kijamii, na battle hizo mara nyingi wakenya ndo wanaanzisha kutokana na majisifu yao yasiyovumilika na kujiona superior sana kuliko watanzania. Ni ngumu kuona battle ya mtanzania na Mganda / Rwanda /...
  19. kende

    Hivi mbona sielewi, mohamed matumla katapeliwa kwenye pambano la kina mayweather?

    Ilipromotiwa sana kwamba atayeshinda kwenye pambano kati ya matumla na mchina ataenda kupigana kwenye pambano la ufumbuzi kati ya Man Pacquiao na Floyd Mayweather ila naona kimya, au ndo ashaingizwa mjini?
  20. kende

    Hivi nyie wanawake hii milio ya mahaba inatoka kumoyo au mnatuzuga?

    Mi hii milio sometimes nahisi kama kutuzuga wanaume tujione tunapiga kende kisawasawa kumbe waaapi, nilianza kuistukia hiyo kipindi niko na shemeji yenu/wifi fulani hivi, mwanzoni kipindi tumeanza mapenzi alikuwa analia kawaida tu, ila baadae nikashangaa milio inabadilika, mara aweke na maneno...
Back
Top Bottom