Nahitaji Apple-MacBook Pro

Nahitaji Apple-MacBook Pro

kende

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
3,527
Reaction score
1,669
Wakuu nahitaji hiyo kitu yenye uwezo mzuri wa kufanya kazi za Graphics Design n' Video Editing, ni duka lipi dar naweza kupata kwa bei nafuu either iwe mpya au used yenye hali nzuri?

Asante!
 
Wakuu nahitaji hiyo kitu yenye uwezo mzuri wa kufanya kazi za Graphics Design n' Video Editing, ni duka lipi dar naweza kupata kwa bei nafuu either iwe mpya au used yenye hali nzuri?

Asante!

Una shilingi ngapi Mkuu nikuuzie? Ni PM tuongee vzr
 
Mi ninayo kama unahtaj used ila betry yake imeisha utanunua elite
 
Asanten wakuu kwa response!
 
Au instagram kuna kacheki page yaitwa AppleMacbook_Tz
 
Back
Top Bottom