Search results

  1. Kakakuona

    INAUZWA Geti na mlango wa kioo vinauzwa

    GETI UKUBWA: FUTI 8 ×7 BEI: TSHS 400,000 _______________________ MLANGO UKUBWA: FUTI 7×7 BEI: TSHS 500,000 _______________________ KWA HUDUMA YETU: 0716442950 MAHALI: MBEZIBEACH _______________________ TUMEBADILISHA MATUMIZI YA FLEMU KUWA NYUMBA YA MAKAZI.
  2. Kakakuona

    Geti linauzwa

    GETI LINAUZWA UKUBWA: FUTI 8 ×7 MAHALI: MBEZIBEACH TANGIBOVU BEI: TSHS 400,000 KWA HUDUMA YETU: 0716442950 ____________________
  3. Kakakuona

    Tunauza kiwanja Tabata

    KINAUZWA KIWANJA TABATA KIFURU _____________________ ENEO: Tabata Kifuru _________ BEI: - Tshs 28 Milioni _________ UMILIKI: Kimipimwa kina offer. _________ UKUBWA WA VIWANJA: Sqm 800. ________ HUDUMA: Umeme Tanesco upo. Maji Dawasa yapo. Huduma zote muhimu zinapatikana kwa urahisi...
  4. Kakakuona

    NAUZA IST

    Inataka 6.5 M Ipo Kigamoni Kisu icho, haina Tatizo kubwa, Call 0716442950.
  5. Kakakuona

    Plot4Sale Tunauza viwanja Kibaha

    TUNAUZA VIWANJA ENEO: Kibaha Misugusugu, Kilomita 2 toka morogoro road. _________ MALIPO: Kwa awamu ndani ya Miezi 6. _________ BEI: Taslimu - Tshs 10,000 @1Sqm, Awamu - Tshs 12,000 @1Sqm ___ UMILIKI: Vimepimwa, Unapewa hati baada ya malipo. ________ UKUBWA WA VIWANJA: ________________________...
  6. Kakakuona

    NYUMBA INAPANGISHWA KARIAKOO FAYA

    Hi apartment IPO kariakoo faya, Ipo floor ya 3 no lift. inavyumba viwili kimoja ni master sebule jiko choo Cha pablc bei laki 5 Kwa mwezi Kodi MIEZI 6. _ sevice charge elfu 30 kila mwisho wa mwezi ( Maji, Ulinzi, Takataka ) - Call: 0742141467
  7. Kakakuona

    Plot4Sale Tunauza viwanja katika maeneo mbalimbali

    Ukubwa wa kiwanja: 650 Sqm. Eneo: Goba Kulangwa, barabara mpya ya lami ya Kuelekea Madale. Bei: Tshs 25,000,000 (Milioni 25) Kina hati ya wizara. Contact : 0742141467
  8. Kakakuona

    Wafanyakazi wa Airtel Tz (Customer Care) wagoma kufanya kazi Leo

    Sababu ya Mgomo wao huo ni Mshahara ambapo wanalipwa kiasi cha Tsh.270000 badala ya 400000 Kama ilivyoelekezwa na serikali. Serikali Mwaka 2013 iliekeza kima cha chini cha mshahara cha 400000 kwa wafanyakazi katika sekta ya mawasiliano
  9. Kakakuona

    600SqrM Plot, 20M from MainRoad at Kinzudi (Mbele ya Salasala)

    Ukubwa: 600SqrM Umeme Upo. 20M kutoka Barabara Kubwa. Bei Milioni 9. Contact: 0683499369/0715350793
  10. Kakakuona

    Kiwanja kizuri 400sqm, karibu na Main Road

    Kiwanja kizuri zero distance from main road (Mivumoni-Goba road). Ukubwa sqrM 400, Bei Milioni 7 tu. Umeme na Huduma nyingine zipo. Contact 0683499369/0715350793
  11. Kakakuona

    Nauza kiwanja changu kipo Kinzudi, salasala Mwisho

    #Mita za Mraba 1300. #Barabara Ipo nzuri, gari linafika hadi kwenye kiwanja. #Umeme ndiyo umefika. #Direction : Mbuyuni>Mwisho wa lami>kinzudi (Dakika5 kwa gari kutoka Mwisho wa lami hadi kwenye kiwanja). #Bei Milioni 25,000,000. Contact 0752953860 0683499369
  12. Kakakuona

    Sheria inasemaje hapa?

    Naomba kujua sheria inatamka nini, kima cha chini cha mshahara katika sekta ya mawasiliano?
  13. Kakakuona

    Msichana wa kula nae vyombo

    Msichana wa kula nae vyombo a.k.a gambe anahitajika, Mimi nipo dar.. Ni PM kama upo interested..
  14. Kakakuona

    Kiwanja kinahitajika Tabata Segerea

    Kiwe sehemu nzuri kisiwe karibu na bonde au mto msimbazi, Budget Mil 35. Email: amsumi360@gmail.com
  15. Kakakuona

    Walimu wa masomo ya sayansi

    Habari wanajamvi, naombeni mawazo yenu juu ya suala hili; nataka kuwa mwalimu sasa nataka kusoma PGD ya ualimu ila shida kubwa hapa ni kutaka kujua kama serikali bado inachukua walimu hasa walimu wa masomo ya sayansi,, Naomba kujunzwa wakubwa....
  16. Kakakuona

    Wife material

    Wife material anahitaji. SIFA::::: Ni PM nikwambie.. Kuhusu Mimi. 1. Umri 29 2. Elimu: PGD 3. Nimeajiriwa N.B Mke tegemezi hapana.
  17. Kakakuona

    Kuhusu post graduate in education

    Ndugu zangu naombeni kujuzwa vyuo vinavyotoa post graduate ya ualimu hapa Dsm na gharama zake shilingi ngapi? na huwa application ni mwezi wa ngapi?? ##nawasilisha....
  18. Kakakuona

    Kiwanja kinauzwa Kinzudi Mwisho, karibu na kwa Kandoro

    Kiwanja chenye ukubwa wa mita 20×30, kipo tambalale hakina bonde, barabara inafika hadi kwenye Kiwanja, umeme upo karibu!!! #bei Milioni 13. #contact 0657720792 Direction: Afrikana> Fuata barabara ya salasala> kinzudi #Hakina udalali...
  19. Kakakuona

    Dell CPU inauzwa

    Model :Optiplex 170L HD: 90gb Ram: 500mb (unaweza kuongeza) Processor: 3ghz $$ Ipo Dsm @@@Bei maelewano Serious buyer, PM.
  20. Kakakuona

    Tecno H5 inauzwa

    smartphone tecno h5 nauza laki na 20, simu imetumika mwezi1tu haina tatizo lolote, nipo dar tuwasiliane 0715350793
Back
Top Bottom