Kiwanja kizuri 400sqm, karibu na Main Road

Kiwanja kizuri 400sqm, karibu na Main Road

Kakakuona

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
345
Reaction score
201
Kiwanja kizuri zero distance from main road (Mivumoni-Goba road).
Ukubwa sqrM 400, Bei Milioni 7 tu.

Umeme na Huduma nyingine zipo.

Contact 0683499369/0715350793
 
Kiwanja kizuri zero distance from main road (Mivumoni-Goba road).
Ukubwa sqrM 400, Bei Milioni 7 tu.
Contact 0683499369

Picha za Kiwanja.
 

Attachments

  • 1424453259093.jpg
    1424453259093.jpg
    80.3 KB · Views: 324
  • 1424453305121.jpg
    1424453305121.jpg
    82.3 KB · Views: 304
Naona wataka kuwaangushia watu jumba bovu...
 
Viwanja vya barabarani vizuri vikiwa tayari barabara ya lami imeshapita, lakini hapo Goba hadi lami iwe tayari ushapata TB za kutosha.
Pia hakipo katika ramani ya Tanroads?
 
Plot surveyed na nyaraka zote Muhimu zipo.
 
Naona wataka kuwaangushia watu jumba bovu...

Huna pesa piga kimya! Utaratibu kwa Mtu mwenye akili kama huna wasiwasi unatafuta surveyor aangalie kimekaaje.
 
Zero distance from main road! Unataka kutuambia unauza eneo la barabara?! Humpati mtu hapa!
 
Back
Top Bottom