Search results

  1. K

    Wamama Ebu Kujeni Hapa.

    Nimesikia taarifa ya mkemia mkuu wa serikali akisema %49 ya watoto walioko kwenye ndoa si watoto halili wa ndoa, akafika mbali zaidi na kutaja mikio inayoongoza kuhujum ndoa zao akianza na arusha, dar, na mbeya, kitu kilichonipa hasira na kufanya nianze kuwaangulia mala mbilimbili watoto wangu...
  2. K

    Hongera Ally Mwafongo Kwa kuchaguliwa kuwa Meya wa Mji wa Tunduma

    Binafs ninakufaham vizuri ndani na nje ya chama, sina wasiwasi na utendaji wako wa kazi, wewe ni mpambanaji wa mda mrefu ukiwatetea wananchi ndani na nje ya chama, nzuri zaidi ni kuwa utafanya kazi na makamanda waamifu kwa wananchi, na watiifu kwa chama na sio wengine ni frenk mwakajoka mbunge...
  3. K

    Magufuli bado hajanishawishi

    Nikiri kwamba kaanza vizuri sana lakini bado hajanishawishi, watanzania tunahitaji maisha bora na yenye uhakika, tunataka uchumi wa nchi ukae vizuri, tunataka vifaa vya ujenzi vishuke bei, tunataka pembejeo za kilimo zishuke bei, tunataka vyakula vishuke bei, tunataka mafuta yashuke bei ili...
  4. K

    Bado nalia na Tanzania yangu

    Napata shida kwenye nchi ya watu biashara ndogo ambayo ningeweza nikaifanya tanzania na kuniingia kipato bila presha wala wasiwasi wowote, lakini kutokana na ugum wa maisha ya tanzania, na serikali kutokutuwezesha vijana tunasoma ajira hakuna, tunajitafutia maisha tunanyanyaswa, ndipo tunajaribu...
  5. K

    Hivi mapenzi ni mpango wa Mungu au shetani?

    Nimelazimiki kuwaza hivi kutokana na haya mapenzi kutusumbua vichwa, yani watu wazima na heshma zetu ni vipi tunateswa na mapenzi kiasi hiki? Yani mtu unahangaika kutafuta hela kwa ajili ya mwanamke unatoka kazini umechoka, unafika nyumbani unakutana na mwanamke stres nyingi aa mi nachoka...
  6. K

    Duu! Kweli mapenzi hayatendi haki

    Yani mwanamke unampenda na kuonyesha mapenzi yako kwake lakini yeye wapi! kweli nimeamini kupenda sio kazi, kazi ni kumpata akupendae kwa dhati
  7. K

    Ninafarijika na Wabunge wangu Tunduma

    Ninapokuwa nina hasira sana za uchaguzi uliopita nikigeuka nyuma nawaona makamanda wangu wawili devid ernest silinde, na frenk mwesya mwakajoka, hakika hawa ni mapacha wasiofanana, ni watu walitoa maisha yao kwa ajili ya wananchi, hawa ni viongozi sio watawala, momba tumewatuma na tunawaamini
  8. K

    Watu walioitwa kwa ajili yangu

    Taifa linaelekea kwenye uchaguzi mkuu wa, huku tukisikia vitisho, kejeli, kutoka kwa viongozi wetu wakuu wa nchi, magali ya washawasha na magari ya police vikiingia nchini. Lakini Mungu wetu anasema ikiwa watu wangu walioitwa kwa ajili yangu watajinyenyesha na kuomba na kuutafuta uso wangu, na...
  9. K

    Kila jambo na wakati wake

    Kuna wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna, wakati wa kuzariwa na wakati wa kufa, wakati wa jua na wakati wa masika, wakati wa kupata na wakati wa kukosa, na inatakiwa unatapomwomba Mungu muombe kulingana na wakati hauwezi ukaomba mtoto kabla haujomba ndoa, je? wewe uko kwenye wakati gani...
  10. K

    Yanayojiri Siasa za Msumbiji

    Nchi ya Msumbiji yaingiwa na hofu kali ya kuingia vitani tena, baada ya mwanasiasa wa chama cha RENAMO kutekwa hapo jana akiwa maskani kwake Beira, habari zinasema, maaskofu ndio waliomwita kutoka porini ili kumuomba kwa amani baada ya kuhisi anaweza kufanya kitu kibaya, kufuatia kumkosa kumuua...
  11. K

    Nimekuta marafiki wa mke wangu wanasema mambo ya ajabu, najua hata mke wangu wamemfundisha

    Nimewakuta majirani na ni marafiki na wife wanapiga stori, et aa siku hizi kuna ndoa? Siku hizi bwana usipochangamka shauri yako, siku hizi hakuna wanaume ni magumegume. Siku hizi inatakiwa ukienda kuchota maji unabeba ndoo na kidumu mkononi bahati mbaya ukitereza ukaanguka maji ya kwenye ndoo...
  12. K

    Mungu akisema ndio hakuna binadamu wa kupinga

    Binadam huwa tunapitia katika misukosuko mingi wakati wa kusaka maisha, kuna kutereza na kuanguka lakini wanaume na wenye hurka za kiume huwa tunasimama tunafuta vumbi na kuendelea na safari. Mda mwingine huwa tunaleta misuguano katika ndoa zetu hasa tunapoamua kujitupa mbali kutafuta maisha...
  13. K

    Mkono wenye bidii hutajilisha.

    Ni jumapili nyingine njema machoni pa Mungu wapendwa tunakumbushana maneno ya Mungu tukisoma kitabu cha kutoka Mungu alimuuliza musa unanini kwenye mkono wako? musa akasema nina fimbo, akamwambia yapige hayo maji yatawanyike, musa akafanya hivyo, tunajifunza kuwa Mungu anataka ujishughurishe...
  14. K

    Hivi wanawake, inakuwaje unachora tatuu ya jina la mwanaume kabla hajakuoa?

    Unakuta mwanamke ana mpenzi ambaye hata uhakika wa kwamba atamuoa haupo anakwenda kuchora tatuu mkononi et i love fred. Sasa nimekutana na binti mmoja kachora i love fred kwenye mkono wake mimi nikamdodosa fred hajambo? anasema fred gani? nikasema si mmeo? anasema mme wapi ningekuwa na mme basi...
  15. K

    Ombi Na Tahadhari Kwa Viongozi Wa Ukawa

    Siku zimebaki chache sana kuelekea kwenye tukio ni zahili ccm wamechanganyikiwa wanahaha huku na kule ili kuokoa jahazi linalokwenda kuzama, na mbinu yao iliyobaki ni kucheza na mawakala wa ukawa, naomba viongozi wangu wa ukawa kuwa macho na makini sana katika secta hii, kwanza niombe chadema...
  16. K

    Wapi Seleman Msindi (Afande Sele)?

    Ni muda mrefu sijasikia harakati za Afande huyu aliekimbia bunduki sasa anapambana na mike, namaani baba tunda jema, je? harakati zinaendeleaje pale Morogolo au amezidiwa na mafuriko ya UKAWA?
  17. K

    Saed Kubenea kamanda asiegopa pori

    Ni moja ya makamanda wapambanaji wanaojitambua kwamba walizaliwa na watakufa, nimemkumbuka huyu mpambanaji pale alipomwagiwa tindikali kwa kuiambia ukwali Serikali, Kubenea ndio watu wa kwanza kwanza kufanyiwa unyama na Serikali hii iliopo madarakani. Baada ya hapo yakafuata matukio kibao...
  18. K

    Wananchi Wa Msmbiji Waingiwa Hofu

    Baada ya tukio la juzi la kuvamiwa msafara wa afonso dhlakama na kusababisha mapambano makali yaliydum zaid ya masaa 15 na kupelekea dhlakama kwa mala ya kwanza kupoteza makamanda wake, inasemekana mzee amerudi kwenye kambi yake kuu ambopo historia inaonyesha dhlakama akienda kwenye hiyo kambi...
  19. K

    20 killed in RENAMO shootout says police

    Mwanaharakati na Kiongozi wa chama cha RENAMO nchini Msumbiji msafaRa wake ulivamiwa na Jeshi la Serikali karibu na mji wa Beira, mwanaharakatI huyu aliye na jeshi la hatari msituni na yeye akiwa fieldmarshall, baada ya kuvamiwa kukatokea mapambano makali yaliyopelekea RENAMO kupoteza wanajeshi...
  20. K

    Amin nawaambia kizazi hiki hakitapita hata haya yatimie

    Amin nawaambia kizazi hiki hakitapita hata yote haya yatimie, mbingu na nchi vitapita lakini maneno yangu hayatapita kamwe, walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye hata malaika walio mbinguni wala mwana ila Baba angalieni kesheni mkiomba kwa maana hamjui wakati ule utakapokuwapo...
Back
Top Bottom